FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
- #61
Kwa hili bora waniue tu. Sio Makamba wala Rais nina imani nao kuhusu mradi wa Rufiji. Tumepigwa
Sina imani na Makamba na Rais Samia kuhusu mradi wa bwawa la Nyerere, huenda Makamba anatumiwa na nchi za kigeni. Hivi huu mgao wa umeme mnaounaje? Kiukweli maswali ni mengi mno, wanasema wanarekebisha ili tuhamie kwenye umeme wa gesi, ukiwauliza kwa gesi ipi wakati gesi ina mwenyewe...