Leo Mbunge Ester Bulaya ameibua hoja ya kucheleweshwa kwa mradi wa JNHPP na kutaka serikali ilete taarifa rasmi Bungeni na kiasi cha fidia atakacholipa mkandarasi. Kwa kiherehere Kigwangala akajibu utafikiri yeye ndio Waziri wa Nishati ila tunaomjua tumemuelewa. Kwa habari za chini ya kapeti ni...
Ethiopia, leo Jumapili inatarajiwa kufua umeme kutoka kwenye Bwawa la The Grand Ethiopian Renaissance linalokabiliwa na utata lililoko katika Mto Nile. Bwawa hilo limekuwa chanzo kikuu cha mzozo wa kikanda tangu kuanza kwa ujenzi wake muongo mmoja uliopita. Mataifa jirani ya Ethiopia, Misri na...
Natumai mko salama. Wakuu nilikuwa na ombi moja kwa yoyote yule aliye karibu na Mheshimiwa Waziri wa wizara husika amuambie ukweli japo utakuwa ni mchungu. Ukweli wenyewe ni kwamba wizara imemshinda. Mheshimiwa Waziri, kama unasoma hapa huu ndio ujumbe wangu kwako. Kwa kipindi kirefu tulikuwa...
Tangu niliposikia kauli ya Mbunge Sospiere Mukweli akisema kwamba ujenzi wa mabwawa ya kufua umeme kwa sasa yamepitwa na wakati, akili yangu imevurugika kabisa nisielewe nini kinaendelea kichwani mwa wabunge wetu, nimeogopa sana. Na hii imekuja baada ya ile kauli ya hayati Rais John Joseph Pombe...
Kiukweli inasikitisha sana mradi wa bwawa la Nyerere huenda usikamilike kabisa. Mkurugenzi mkuu TANESCO, Mhe. Maharage Chande nilimsikia akisema kwa sasa wanaanza na kufunga mitambo kwa ajili ya umeme wa Gas ambao jumla utazalisha MW 1600. Kwahiyo bwawa la Nyerere ambalo litazalisha MW 2115...
du!!!!......wapiga deal wamerudi,ukiachana na bwawa la umeme rufiji,mimi nia wasiwasi sana wanvyowakimbiza wamasai loliondo aisee,nadhani wanaogopa wamasai wasitoe siri pale tembo watakapokuwa wakiuwawa,na twiga kusafirishwa kwenda nje
Yule dhaifu wa Msoga anatutesa sana waTz, hivi tulikomsea nini yule mzee lakini, haka kakikundi kake kanatufanyia kitu kibaya sana bila huruma, why lakini?!!
du!!!!......wapiga deal wamerudi,ukiachana na bwawa la umeme rufiji,mimi nia wasiwasi sana wanvyowakimbiza wamasai loliondo aisee,nadhani wanaogopa wamasai wasitoe siri pale tembo watakapokuwa wakiuwawa,na twiga kusafirishwa kwenda nje
Kikubwa ni hicho, wanataka kuweka kiwanja kidogo cha ndege mule, ili waingize wanachotaka (madawa ya kukevy nk.) bila kukaguliwa, watoroshe pembe za ndovu kiulaini na kubeba Twiga na Simba wazima, watotoshe pesa na madini ya kila aina bila kugaliwa, yaani free passage ya kila magendo, hadi slave trade ya binadamu hao waarabu wanaweza kuwa wanafanya humo.., hatuwezi kukubali.
Waziri wa Nishati, Januari Makamba ametaja sababu za kuchelewa kwa mradi wa Bwawa la Nyerere kuwa ni utendaji mbovu wa Menejimenti ya Tanesco kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita. "Tuliamua kubadilisha menejimenti ya Shirika pamoja na Bodi na kuweka menejimenti mpya na bodi ambayo tunaamini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.