Inaumiza sana: Kwani CCM, CHADEMA imewakosea nini kikubwa

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,316
Reaction score
871,876
Ni wazi na ni dhahiri mtajivua uwajibikaji na ushiriki kwenye kuihujumu CHADEMA.. lakini sasa ni too much hata viziwi na vipofu wanajua

Je mwamko mkubwa wa tonetone
Je ni moto mkali wa NO REFORMS NO ELECTION?
Je ni nyomi zinazozidi kufurisha viwanja kwenye mikutano ya hadhara? Case study Dodoma na Tabora

Hivi mnajua ya kwamba hata kati yenu kuna ambao hawakubaliani nanyi?
20250610_181421.jpg

Ni wazi na ni dhahiri mtajivua uwajibikaji na ushiriki kwenye kuihujumu CHADEMA.. lakini sasa ni too much hata viziwi na vipofu wanajua
Je mwamko mkubwa wa tonetone
Je ni moto mkali wa NO REFORMS NO ELECTION?
Je ni nyomi zinazozidi kufurisha viwanja kwenye mikutano ya hadhara? Case study Dodoma na Tabora

Hivi mnajua ya kwamba hata kati yenu kuna ambao hawakubaliani nanyi?View attachment 3363442
Da CCM hawana Mgombea Urais ndiyo sababu
 
Back
Top Bottom