Ralphryder
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 5,599
- 1,801
Thubutu!Hii nchi inabidi one day watu wakamuane wese atleast tuta peana hashima
Thubutu!Hii nchi inabidi one day watu wakamuane wese atleast tuta peana hashima
Huamini ee?Thubutu!
We mwenyewe huamini!Huamini ee?
...?Thubutu!
Ni wazi na ni dhahiri mtajivua uwajibikaji na ushiriki kwenye kuihujumu CHADEMA.. lakini sasa ni too much hata viziwi na vipofu wanajua
Je mwamko mkubwa wa tonetone
Je ni moto mkali wa NO REFORMS NO ELECTION?
Je ni nyomi zinazozidi kufurisha viwanja kwenye mikutano ya hadhara? Case study Dodoma na Tabora
Hivi mnajua ya kwamba hata kati yenu kuna ambao hawakubaliani nanyi?View attachment 3363442
View attachment 3363662