Inaumiza sana: Kwani CCM, CHADEMA imewakosea nini kikubwa

VIDEO:
Makamu Mwenyekiti wa Chadema akiwasili kituo cha Polisi Igunga Baada ya kufanyiwa Fujo kwenye Mkutano.
VIDEO:
Makamu Mwenyekiti wa Chadema akiwasili kituo cha Polisi Igunga Baada ya kufanyiwa Fujo kwenye Mkutano.
 
Chadema inapigwa kotekote, ikinusurika wakati huu haitakufa kamwe
 
Daah ni chuki za wazi wazi
 
Watu mlitaka siasa ngumu, mmeanza kulia tena! Tena siasa ngumu mnapewa na chadema wenzenu waliofungua kesi dhidi ya chama
 
Reactions: Tui
Mungu kuna bidamu hawamkubali nae amewaumba seize chadema vs ccm wao wameshasema uchaguz haufanyiki la ajabu nn tusubir Oct 31 tuone nani anamatokeo sahihi na kitatokea nn kati ya ccm na chadema yaliyobakia ni potojo
 
CCM wanaweza kosana huko kooote ikifika muda wa uchaguzi wanaungana kama siyo wao
 
Watu mlitaka siasa ngumu, mmeanza kulia tena! Tena siasa ngumu mnapewa na chadema wenzenu waliofungua kesi dhidi ya chama
Kwenye umeme unakatwa kodi 4 , VAT , EWURA , REA na Kodi ya jengo kila mwez , na hiv ndo kodi yako inatumika

Kesi ya Lissu imechukua miez ila hii kesi inachukua muda mfupi tu

Bado hustuki tu
 
Kwenye umeme unakatwa kodi 4 , VAT , EWURA , REA na Kodi ya jengo kila mwez , na hiv ndo kodi yako inatumika

Kesi ya Lissu imechukua miez ila hii kesi inachukua muda mfupi tu

Bado hustuki tu
Kesi ya Lissu iko katika motion
 
Hakuna dalali kwa sasa wakuchezesha michezo bendera chuma mlingoti chuma
 

Attachments

  • 20250610_184923.jpg
    82 KB · Views: 11
  • 20250610_184844.jpg
    115.9 KB · Views: 8
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…