Inaumiza sana umri huu Mbowe ana report kwa Abdul? Pesa ndiyo sabuni ya roho

Inaumiza sana umri huu Mbowe ana report kwa Abdul? Pesa ndiyo sabuni ya roho

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2017
Posts
2,254
Reaction score
5,161
Abdul ni mtoto ambaye walio karibu watakuambia hata hayupo smart. Sema ndo anatumika tu na mzazi wake. Mbowe umri huu ndo maana aliamua kuwa na washauri kama akina Ntobi, Yericko and the likes watoto wadogo tu.

Mbowe inasemekana mshauri wake mkuu sasa ni Abdul. Yaani kila kitu anachofanya lazima atoe taarifa kwa Abdul ajieleze na apewe ushauri. Na ndo anaenda na maelekezo hayo maana pesa anazopewa zionekane zinafanya kazi.

Mbowe ndo anafaa kuwa Mwenyekiti wa CDM. Lissu atakiharibu chama.
 
Back
Top Bottom