Inauzwa:Mtungi wa Mihan, feni na pasi Philips original

Inauzwa:Mtungi wa Mihan, feni na pasi Philips original

Sukari Yenu

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2014
Posts
1,698
Reaction score
1,261
Habari wakuu,

Vifaa nilivyoorodhesha hapo juu vinauzwa. Ni vipya kimatumizi, pasi ina mwezi 1, mtungi una gas, umechemsha maji mara 2 tu, na feni imetumika miezi 2 tu-brand Mr UK. Pasi ni original kabisa imenunuliwa Game Supermarket, Mlimani City.


Vifaa hivi vinapatikana Kibaoni, Kichemchem, Mbagala.

Mtungi 40,000
Pasi 30,000

UPDATE: Feni umeuzwa tayari. Bado pasi na mtungi tu.


Serious buyers PM iko wazi ntakupatia namba ya simu.

IMG-20190509-WA0021.jpeg
IMG-20190509-WA0020.jpeg
IMG-20190509-WA0024.jpeg
IMG-20190509-WA0023.jpeg
IMG-20190509-WA0025.jpeg
IMG-20190509-WA0027.jpeg
 
Mtungi na gesi complete ni 54000 wewe unauza 40k du labda nikupe 20k
 
Unauza bei sawa na dukani, tena hpo kwenye feni umewazidi ata dukan mpya, hyo bei yake ni 30-35.
Feni dukani ni 55 kaka. Hiyo feni ni mpya kabisa.
Anyway kama uko interested njoo PM tunaweza ongea.
 
feni feki unauza bei kubwa hivyo, dukani ni 30 hiyo,
 
Mkuu naomba uniletee hivyo vitu hapa posta siku ya jumanne, kama bado vitakuwepo. Ila hiyo bei ya feni ni ya dukani nilinunua 39,000 wakaniibia.
Jumanne unicheck
 
Halafu punguza ubishi, kama wewe ulinunua kwa bei hiyo haina maana kuwa ndio bei yake.na usilazimishe watu kununua kwa bei unayotaka wewe kwa kuwa ulinunua kwa gharama(regardless its true cost
Feni dukani ni 55 kaka. Hiyo feni ni mpya kabisa.
Anyway kama uko interested njoo PM tunaweza ongea.
 
Halafu punguza ubishi, kama wewe ulinunua kwa bei hiyo haina maana kuwa ndio bei yake.na usilazimishe watu kununua kwa bei unayotaka wewe kwa kuwa ulinunua kwa gharama(regardless its true cost
Basi poa kaka. Asante sana.
 
Back
Top Bottom