Inauzwa:Mtungi wa Mihan, feni na pasi Philips original

Inauzwa:Mtungi wa Mihan, feni na pasi Philips original

feni 30 ,pasi 20 njoo pm tufanye biashara ,niletee hapa posta
 
We nawe haupo serious. Mi nikae mpaka Jumanne nisifanye biashara mkuu unaijua time value of money?
Sipo serious kivipi? nilikwambia kama vitakuwepo uniletee jumanne, nani amekuzuia kufanya biashara? Kama umeuza ni poa good for you kwani tatizo liko wapi?
 
Back
Top Bottom