Sukari Yenu
JF-Expert Member
- Dec 8, 2014
- 1,698
- 1,261
Ok asante.Mtungi na gesi complete ni 54000 wewe unauza 40k du labda nikupe 20k
Pamoja sanaungekuwa mwanza ningechukua
Feni dukani ni 55 kaka. Hiyo feni ni mpya kabisa.Unauza bei sawa na dukani, tena hpo kwenye feni umewazidi ata dukan mpya, hyo bei yake ni 30-35.
Feni dukani ni 55 kaka. Hiyo feni ni mpya kabisa.
Anyway kama uko interested njoo PM tunaweza ongea.
Umefunga PM yako mkuunjoo inbox
Basi poa kaka. Asante sana.Halafu punguza ubishi, kama wewe ulinunua kwa bei hiyo haina maana kuwa ndio bei yake.na usilazimishe watu kununua kwa bei unayotaka wewe kwa kuwa ulinunua kwa gharama(regardless its true cost
Feki mkuu umeiona?feni feki unauza bei kubwa hivyo, dukani ni 30 hiyo,
Mbagala mkuuUnapatikana wap
Bado mkuu ongeza ongezaPasi natoa 20 mkuu kama safi nije pm