Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 4,460
- 13,715
Kila mtu anakuomba hela kumbe wewe mwenyewe ni misheni taun coz tangia umemaliza chuo 2016 hadi leo haujapata ajira.
Kila mtu anataka atembee na wewe ili awaoshee wengine.
Wanakuuliza kama unaishi karibu na nandy ili uwape stori zake kumbe we mwenyewe una share geto na mwanako mikorochini.
Wanakuomba nauli ili waje mjini uwasaidie kutafuta mishe kumbe we mwenyewe unatamani mwanakijiji mmoja akuazime heka hata 50 ulime mahindi.
NICE WEEKEND GUYS.