Habar wadau wa elimu.
Kuna jambo hapa naomba ushirikiano wako. Hii ni kwa zile shule za sekondari sasa kuna maabara zile za masomo ya physics, chemistry na biology. Sasa kwenye hizi maabara kunatumika vifaa (apparatus) na kemikali mbalimbali kwa ajili ya mafunzo ya vitendo kwa wanafunzi yaani practical.
Sasa upatikanaji wa hivi vifaa na hizi kemikali umekuwa changamoto kutokana na wasambazaji kuwa wachache mno na kupelekea mashule hununua kwa bei kubwa kutokana na kufanyika kwa ulanguzi wa wasambazaji.
SASA ,ipo kampuni ambayo imeamua kutatua hii changamoto kwa kuuza hivi vifaa na kemikali za maabara za shule kwa bei rafiki kwa kuwa inaagiza moja kwa moja kutoka nnjee ya nchi.
baadhi ya bei za vifaa vipo chini kwenye picha, jionee kisha lenganisha na bei ulizowahi kuziona mahala pengine, MJULISHE NA MWENZAKO.
Tunapatikana Kinondoni B, opposite kituo cha mwendo kasi Kinondoni B.
Ukiwa na uhitaji weka order sasa, popote ulipo mzigo utakuja na utalipa baada ya kupokea mzigo.
0699494650