komasalonde
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 2,742
- 3,523
Upendo gani -wakuandaa katiba Mbovu na kupeleka wanajeshi Uganda ili rafiki yake obote awe RaisMiaka ya 1970 - 1990. Enzi za utawala wa Nyerere hadi alipoachia 1985 hadi awamu ya kwanza ya utawala wa awamu ya pili, wa Rais Mwinyi, Tanzania ilikuwa, moja imara, na yenye upendo mkubwa.
Kila mtu alijivunia utanzania, uzalendo, na kuona fahari kuitwa Mtanzania.
Nitatoa mifano miwili ya ndani na nje ya nchi.
Mwaka fulani katikati ya 1980, nilisafiri kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine. Nikiwa kwa miguu nakaribia kwa mwenyeji wangu, na kamzigo kichwani, Mama mmoja hanijui, sio Kabila langu, akaniita kijana njoo. Nilipoenda akanipa mzigo wa karanga zilizoanikwa juu ya nyumba za udongo.
Nilimshukuru sana. Nilimazilia safari yangu kwa raha na kupunguza uchovu.
Passport yetu kimataifa ilikuwa na heshima kubwa. Tulibahatika kuwa na mkutano wa nchi 11, nchi fulani miaka 1980,, heshima tuliyokuwa tukipewa hadi wenyewe tulijiona maboss.
Sijui nini kimeitokea Nchi yangu pendwa ?
Najiuliza kwa uchungu mkubwa,,,, Upendo, mshikamano, uzalendo, amani, na furaha ndani ya Tanzania yangu,, vitarudi au ndiyo tumeagana navyo milele ?????
Huduma tulipewa bure, elimu, afya na ajira. Vilitufanya kuwa wamoja sana. Ukishinda daraa la Saba Ngara au Loliondo, unapangwa Secondary, Ndanda au Kilakala na Warranty mnasafirishwa bure mnapewa na mikate pia.Upendo gani -wakuandaa katiba Mbovu na kupeleka wanajeshi Uganda ili rafiki yake obote awe Rais
Huduma tulipewa bure, elimu, afya na ajira. Vilitufanya kuwa wamoja sana. Ukishinda daraa la Saba Ngara au Loliondo, unapangwa Secondary, Ndanda au Kilakala na Warranty mnasafirishwa bure mnapewa na mikate pia.
Hiyo ya Katiba sijui vita haikuwa kikwazo kwa mshikamano na upendo wetu.
Tulisoma na watoto wa matajiri na viongozi wakuu wa Nchi.
Sifa. gani hiyo ya ziada? Mimi sikuiona lo lote la ziada ilikuwa ni passport kama nyingine. Tena ilikuwa imeandikwa "VALID FOR ALL COUNTRIES EXCEPT TAIWAN AND SOUTH AFRICA"Passport yetu kimataifa ilikuwa na heshima kubwa. Tulibahatika kuwa na mkutano wa nchi 11, nchi fulani miaka 1980,, heshima tuliyokuwa tukipewa hadi wenyewe tulijiona maboss.
Alijitahidi sana tena sana kuweka umoja wa Kitaifa.Kwahiyo kupewa Elimu bure, Ku panda buss bure na Kusoma na watoto wa matajiri .
Je imesaidia nini mbona nchi iliendelea kuwa masikini Sana hadi akaamua kukaa pembeni .
Nyerere yupo overrated Ila hakuwa na vision nzuri.
Kitendo cha kuandaa katiba Mbovu mwaka 1977 inayompatia madarka Makubwa Rais hiyo pekee ilionesha Nyerere halikuwa hana nia ya kuacha legacy
Kwa walio wengi itabaki kuwa ni historia tu sababu kuna uchungu mwingi sana mioyoni mwa watu, bomu kubwa la hasira, vinyongo, visasi, linasibiriwa tu wakati sahihi lilipuke. Watu wameumizwa, wameuawa pasipo kuwa na hatia yoyote na wala utawala haushtuki, na wengine wengi wanakandamizwa haki zao, wanaozea magerezani, usitegemee kama mtu alikuwa na moyo wa upendo kwa 100% ukabaki vile vile.Miaka ya 1970 - 1990. Enzi za utawala wa Nyerere hadi alipoachia 1985 hadi awamu ya kwanza ya utawala wa awamu ya pili, wa Rais Mwinyi, Tanzania ilikuwa, moja imara, na yenye upendo mkubwa.
Kila mtu alijivunia utanzania, uzalendo, na kuona fahari kuitwa Mtanzania.
Nitatoa mifano miwili ya ndani na nje ya nchi.
Mwaka fulani katikati ya 1980, nilisafiri kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine. Nikiwa kwa miguu nakaribia kwa mwenyeji wangu, na kamzigo kichwani, Mama mmoja hanijui, sio Kabila langu, akaniita kijana njoo. Nilipoenda akanipa mzigo wa karanga zilizoanikwa juu ya nyumba za udongo.
Nilimshukuru sana. Nilimazilia safari yangu kwa raha na kupunguza uchovu.
Passport yetu kimataifa ilikuwa na heshima kubwa. Tulibahatika kuwa na mkutano wa nchi 11, nchi fulani miaka 1980,, heshima tuliyokuwa tukipewa hadi wenyewe tulijiona maboss.
Sijui nini kimeitokea Nchi yangu pendwa ?
Najiuliza kwa uchungu mkubwa,,,, Upendo, mshikamano, uzalendo, amani, na furaha ndani ya Tanzania yangu,, vitarudi au ndiyo tumeagana navyo milele ?????
Hakuna namna ya kuirejesha Nchi ilivyokuwa kwa namna yoyote ,??Kwa walio wengi itabaki kuwa ni historia tu sababu kuna uchungu mwingi sana mioyoni mwa watu, bomu kubwa la hasira, vinyongo, visasi, linasibiriwa tu wakati sahihi lilipuke. Watu wameumizwa, wameuawa pasipo kuwa na hatia yoyote na wala utawala haushtuki, na wengine wengi wanakandamizwa haki zao, wanaozea magerezani, usitegemee kama mtu alikuwa na moyo wa upendo kwa 100% ukabaki vile vile.
Mkuu,Kwahiyo kupewa Elimu bure, Ku panda buss bure na Kusoma na watoto wa matajiri .
Je imesaidia nini mbona nchi iliendelea kuwa masikini Sana hadi akaamua kukaa pembeni .
Nyerere yupo overrated Ila hakuwa na vision nzuri.
Kitendo cha kuandaa katiba Mbovu mwaka 1977 inayompatia madarka Makubwa Rais hiyo pekee ilionesha Nyerere halikuwa hana nia ya kuacha legacy
Nisaidie mkuu kumwelewaMkuu,
Wewe ni mhaya mwenye asili ya Uganda?
African socialism (Ujamaa) ni moja ya kitu kilicho changia kuharibu sana hii nchiHuduma tulipewa bure, elimu, afya na ajira. Vilitufanya kuwa wamoja sana. Ukishinda daraa la Saba Ngara au Loliondo, unapangwa Secondary, Ndanda au Kilakala na Warranty mnasafirishwa bure mnapewa na mikate pia.
Hiyo ya Katiba sijui vita haikuwa kikwazo kwa mshikamano na upendo wetu.
Tulisoma na watoto wa matajiri na viongozi wakuu wa Nchi.
hiyo siyo sababu,miaka mingi imepita, viongozi ndio tatizo la nchi hii.African socialism (Ujamaa) ni moja ya kitu kilicho changia kuharibu sana hii nchi
Viongozi wote waliopita ni chimbuko la huo mfumohiyo siyo sababu,miaka mingi imepita, viongozi ndio tatizo la nchi hii.