Inawezakana vipi dollar iadimike halafu bidhaa zimefurika Kariakoo kiasi hiki na hata wanunuzi ni wengi pia?

Inawezakana vipi dollar iadimike halafu bidhaa zimefurika Kariakoo kiasi hiki na hata wanunuzi ni wengi pia?

Kama dollar zimeadimika nilitegemea pawe na shortage ya bidhaa Kariakoo, lakini ni kinyume chake, Kariakoo bidhaa zinamwagika kipindi hiki kama mvua, na wanunuzi wanazichangamkia kama nzige, Maana yakenpesa ipo, na cha ajabu kabisa, bidhaa nyingi zinazidi kushuka bei!

Sasa iweje pawe na inflation halafu bidhaa zingine zinashuka bei, tena zimejazana kama utitiri, what is the logic?
Au hii kushuka kwa thamani ya shillingi dhidi ya dollar sio inflation?
Tamko la kuadimika kwa US $ lilitollewa na BoT ama na Mr & Mrs!?
 
Back
Top Bottom