Inawezekana Askofu Gwajima ndiye mtanzania anayeishi maisha ya furaha kuliko wote

Inawezekana Askofu Gwajima ndiye mtanzania anayeishi maisha ya furaha kuliko wote

muafi

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2015
Posts
2,557
Reaction score
6,128
Huyu jamaa mimi nimeshindwa kumdefine, haeleweki hatabiriki kiufupi huyu huwezi kudeal nae anajua kicheza namba sita kila sehemu yupo

Kazi iendelee

Sasa naanza kuhisi hii S gang haijawahi kuwepo na haipo, ni kuchafuana tu mitandaoni! Kama hata huyu anafurahia hivi kuondoka kwa Jobo
 
Huyu jamaa mimi nimeshindwa kumdefine, haeleweki hatabiriki kiufupi huyu huwezi kudeal nae anajua kicheza namba sita kila sehemu yupo

Kazi iendelee

View attachment 2073248
Ww ndio huwezi ku deal nae. Ila akijaa kwenye 18 za watu anapfigika vizuri tu.
Una overrate watu wa ajab ajab
 
Gwajima aache kutumia jukwaa la dini na imani ya kikristo ku justify umafia wake wa kisiasa, sidhani kama hao waumini wake wana independent thinking, hawana tofauti na mashabiki wa mpira.........
 
Sasa naanza kuhisi hii S gang haijawahi kuwepo na haipo, ni kuchafuana tu mitandaoni! Kama hata huyu anafurahia hivi kuondoka kwa Jobo
Job hakuwa sukumagang,ni njaa zake tu.
Tangu lini sukumagang ikaunga mkono bandarini ya Bagamoyo?
Sukumagang husimamia inachoamini hata iko tayari kupoteza vyeo.
 
Back
Top Bottom