Ameandika BAK Mwabukusi
"DO NOT STOP ...FORGET ABOUT IT.
TPA tuliambiwa haina uwezo wakaletwa wenye mtaji DP World je umewahi tangaziwa wamewekeza kiasi gani hapo Bandarini?
Kwa hiyo ikifika kugharimia fedha za kuendeleza Miundombinu wanarudi kutubebesha mzigo watanganyika na hapo ndipo ndugu dhaifu TPA huibuka japo ndiye aliyeshindwa kuendesha Bandari baada ya mkopo wa mabilioni ya pesa yaliyokopwa kuendeleza Bandari ambapo baadaye wakalazimisha mkataba wa hovyo usiofaa na DP World.
Ironically wakati DP World kupitia mkataba dhaifu ,batili,wakinyonyaji na wa hovyo anaendelea kuvuna asichopanda leo hii wanaibuka tulioambiwa hawana uwezo ( TPA) dhaifu na tozo hizi za kufuru.
Sisi tutalifanyia kazi kwa mujibu wa mkataba ule DP World si anakuja na mtaji? ndiyo maana nilisema ya wezekana DP World wa kweli yupo hapa hapa nchini.Tozo hizi hazistahili na ni uchokozi wa wazi kwa wananchi wa Tanganyika.
Tutaungana kupinga uhalifu huu kwa nguvu kubwa ambayo haijawahi kutokea.
TUNAENDELEA KUSUBIRI KUSIKILIZWA KWA RUFAA YETU ILIYOPAKI PALE MAHAKAMA YA RUFAA.
HAKI,UKWELI NA UWAJIBIKAJI UTALIPONYA "
TAIFA.