Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 9,414
- 6,029
Bandari yetu inazo gati 14 DP World anaendesha gati namba moja mpaka tatu.
Tupunguze nongwa zisizo na vichwa wala miguu.
Haiwezekeni mpangaji anayeendesha gati tatu akabidhiwe ukarabati wa gati zote 14 zilizopo.
Kumpangisha DP World haiondoi ukweli kwamba zipo gati nyingine 8 ambazo sisi ndio tunazimiliki, zipo chini ya TPA.