HakikaWatanganyika awamu hii tumepata taabu
Yote hii sababu ya lile Yezebel pale juuWatanganyika awamu hii tumepata taabu
Mtandao!?Niliwahi kusema hapa DP world ni watanzania wenzetu wanatuchezea cheusi chekundu. Mkataba wao una utata mwingi sana, hata kwa akili ya kawaida inaonekana wazi. Yale mauaji yaliyotokea mo29 ni kwa ajili ya kuficha wasiingie wengine maana hayo madudu yangekaa wazi.
Saaana mkuuWatanganyika awamu hii tumepata taabu
Mzee wa Msoga na huyu Bibi siku wakifa, hakika ni furaha kubwa saana kwa Watanzania.Niliwahi kusema hapa DP world ni watanzania wenzetu wanatuchezea cheusi chekundu. Mkataba wao una utata mwingi sana, hata kwa akili ya kawaida inaonekana wazi. Yale mauaji yaliyotokea mo29 ni kwa ajili ya kuficha wasiingie wengine maana hayo madudu yangekaa wazi.
Cc.Tlatlah na vilaza wote wa mtaa wa mboga mboga.Ameandika BAK Mwabukusi
"DO NOT STOP ...FORGET ABOUT IT.
TPA tuliambiwa haina uwezo wakaletwa wenye mtaji DP World je umewahi tangaziwa wamewekeza kiasi gani hapo Bandarini?
Kwa hiyo ikifika kugharimia fedha za kuendeleza Miundombinu wanarudi kutubebesha mzigo watanganyika na hapo ndipo ndugu dhaifu TPA huibuka japo ndiye aliyeshindwa kuendesha Bandari baada ya mkopo wa mabilioni ya pesa yaliyokopwa kuendeleza Bandari ambapo baadaye wakalazimisha mkataba wa hovyo usiofaa na DP World.
Ironically wakati DP World kupitia mkataba dhaifu ,batili,wakinyonyaji na wa hovyo anaendelea kuvuna asichopanda leo hii wanaibuka tulioambiwa hawana uwezo ( TPA) dhaifu na tozo hizi za kufuru.
Sisi tutalifanyia kazi kwa mujibu wa mkataba ule DP World si anakuja na mtaji? ndiyo maana nilisema ya wezekana DP World wa kweli yupo hapa hapa nchini.Tozo hizi hazistahili na ni uchokozi wa wazi kwa wananchi wa Tanganyika.
Tutaungana kupinga uhalifu huu kwa nguvu kubwa ambayo haijawahi kutokea.
TUNAENDELEA KUSUBIRI KUSIKILIZWA KWA RUFAA YETU ILIYOPAKI PALE MAHAKAMA YA RUFAA.
HAKI,UKWELI NA UWAJIBIKAJI UTALIPONYA "
TAIFA.
Taabu za kujitakia hizi. Kwangu mimi wangeweka tozo hata milioni moja kwa nguo moja ndiyo ningefurahi zaidi. Si walishangilia wakasema ''wanachanganya damu ya kiarabu na wengine wakasema wakristo wana chuki na uislam?Watanganyika awamu hii tumepata taabu
Kobazi vichwa vyao vimejaa moshi.Taabu za kujitakia hizi. Kwangu mimi wangeweka tozo hata milioni moja kwa nguo moja ndiyo ningefurahi zaidi. Si walishangilia wakasema ''wanachanganya damu ya kiarabu na wengine wakasema wakristo wana chuki na uislam?
Find who paid the bill of the entire Tanzanian delegation to Expo Dubai, huko ndiko ile IGA ya DPW na bandari zetu iliposainiwa, kisha connect the dots!.Niliwahi kusema hapa DP world ni watanzania wenzetu wanatuchezea cheusi chekundu. Mkataba wao una utata mwingi sana, hata kwa akili ya kawaida inaonekana wazi. Yale mauaji yaliyotokea mo29 ni kwa ajili ya kuficha wasiingie wengine maana hayo madudu yangekaa wazi.
Uko sahihi.Find who paid the bill of the entire Tanzanian delegation to Expo Dubai, huko ndiko ile IGA ya DPW na bandari zetu iliposainiwa, kisha connect the dots!.
Mmiliki wa ile mitambo ya Richmond, ndie Dowans, ndie Simbions, na sasa ndie agent wa DPW!.
Niliwahi kuuliza ni nani aliigharimia ile movie yetu, how much did he spent and what does he stand to gain for spending so much?. Haya sasa ndio majibu!.
P
Hapa ndo utapata majibu kwanini Oct 29 watu walikua radhi kuua ilimradi wabaki madarakani.Find who paid the bill of the entire Tanzanian delegation to Expo Dubai, huko ndiko ile IGA ya DPW na bandari zetu iliposainiwa, kisha connect the dots!.
Mmiliki wa ile mitambo ya Richmond, ndie Dowans, ndie Simbions, na sasa ndie agent wa DPW!.
Niliwahi kuuliza ni nani aliigharimia ile movie yetu, how much did he spent and what does he stand to gain for spending so much?. Haya sasa ndio majibu!.
P