Inawezekana DP World wa kweli yupo hapa hapa nchini

Bandari yetu inazo gati 14 DP World anaendesha gati namba moja mpaka tatu.

Tupunguze nongwa zisizo na vichwa wala miguu.

Haiwezekeni mpangaji anayeendesha gati tatu akabidhiwe ukarabati wa gati zote 14 zilizopo.

Kumpangisha DP World haiondoi ukweli kwamba zipo gati nyingine 8 ambazo sisi ndio tunazimiliki, zipo chini ya TPA.
 
Wewe acha porojo na propaganda kwenye issue za msingi.
 
GREAT THINK arm chair thinking.
 
Hii nchi inahujumiwa jamani na hawa wahuni.
 
Unaonaje mpangaji angepangidhwa huko ili awekeze vizuri..

Acha kulizalilisha jina la Steven kama yule mwenzako ambae siku hizi kajificha.
 
Mzee wa Msoga na huyu Bibi siku wakifa, hakika ni furaha kubwa saana kwa Watanzania.

Watu watacheza mziki, wengine watalewa, wengine watakula vizuri.
Huyu mzee wa msoga ni kansa mbaya sana kwenye nchi hii. Just imagine madili yaliyopigwa kuanzia utawala wake, eti familia yake haimiliki chochote.
 
Huyu mzee wa msoga ni kansa mbaya sana kwenye nchi hii. Just imagine madili yaliyopigwa kuanzia utawala wake, eti familia yake haimiliki chochote.
Mzee mshenzi yule, na baada ya kujijengea heshima ya kukaa mbali na siasa kama walivyokuwa akina BM ila yeye anazidi kujikita katika siasa na hadi familia yake ameiingiza huko.
 
Mzee mshenzi yule, na baada ya kujijengea heshima ya kukaa mbali na siasa kama walivyokuwa akina BM ila yeye anazidi kujikita katika siasa na hadi familia yake ameiingiza huko.
Hawezi kupumzika mpaka Ridhiwani atakapoingia ikulu. Maana anajua akitokea Rais ambae hawezi kum-control madili yake yote yanalipuliwa. Naamini kabisa hii familia ina ukwasi mkubwa sana, sema wamejificha nyuma ya pazia.
 
Ninaamini hata matajiri wengi mali zao/utajiri wao na kampuni kubwa nchini zinamilikiwa na hii familia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…