Inawezekana DP World wa kweli yupo hapa hapa nchini

HAya mambo wala sio ya kushangaa sisi km wananchi hatujawa siliazi siku tukiwa siliazi huu upuuzi utakwisha
 
KAFIRI ni mtu asiyemjua Mungu asiye na hofu ya Mungu,..hakuna FISADI mwenye kumcha Mungu,mwenye hofu ya Mungu...FISADI yeyote ni kafiri...labda kama kuna maana nyongine ya kafiri.
 
Sisi tutalifanyia kazi kwa mujibu wa mkataba ule DP World si anakuja na mtaji? ndiyo maana nilisema ya wezekana DP World wa kweli yupo hapa hapa nchini
Hivi hakuna wataalamu wa ku trace hela anazokusanya DP World hapa nchini anazitumia vipi? Tukipata majibu tutajua mirija inaelekea wapi.
 
KAFIRI ni mtu asiyemjua Mungu asiye na hofu ya Mungu,..hakuna FISADI mwenye kumcha Mungu,mwenye hofu ya Mungu...FISADI yeyote ni kafiri...labda kama kuna maana nyongine ya kafiri.

ndiyo, kafiri ni ambaye siyo muslim tu hakuna maana nyingine zaidi ya hiyo, na ana chagua aidha kuwa muslim au kuuliwa, hakuna katikati, hivyo muslim hawezi kuwa kafiri na haijalishi kama ni fisadi au la, ingawaje ufisadi ni sehemu ya package ...
 
Kama kweli wanamiliki gati 3 kwa mujibu wa mkataba, kwanini mkataba huo unazuia bandari zingine kuendelezwa?
 
Kama kweli wanamiliki gati 3 kwa mujibu wa mkataba, kwanini mkataba huo unazuia bandari zingine kuendelezwa?
Hakuna kipengele hicho, bandari ya Bagamoyo inatafuta mjenzi kutoka popote duniani, kingekuwepo bandari hiyo ingeendelezwa na DP World.

Adani ni kampuni ya mhindi inayofanya kazi hapo hapo TPA, kipengele kingekuwepo asingeruhusiwa kufanya kazi katika bandari hiyo hiyo moja na DP World.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…