njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Nimeangalia interview ya huyu kijana na online tv ya south africa nimebaki na maswali lukuki kwanza kikawaida kwenye vipindi huwa anajifanya mnazi sana wa ligi ya south africa na viingereza vyake vya uongo uongo kiukweli kanishangaza sana.
Kama kweli Abdi Banda analalamika hakuongea na ule mtandao wa south africa basi atumie lawyers kuwashtaki wale jamaa ikichimbuliwa kwa makini atajulikana aliyeandika hiyo story maana hata ile english ilionyesha kabisa mwandishi ni kutoka bongo.
SITASHANGAA KABISA KWAMBA MWANDISHI WA ZILE MAKALA ILE YA MWAKA JANA KABLA YA KAIZER CHIEFS NA YA MWAKA HUU NI GEOFF LEA WA EFM. ABDI BANDA KAMA SIYO WEWE MUHUSIKA GET TO THE BOTTOM OF IT