njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Haiwasaidii yanga ujinga mnaoufanya, matokeo yake maneno yenu yaliwarudia kwenye mechi na wanaigeria si uliona kilichotokea Dar es Salaam mnadhani mnaikomoa simba ila mtaya experience vizuri uzuri wenu hamfikagi mbali mngekuwa hata makundi mnajimudu mnegkutana na mengi sasa orlando kulalamika hotelini na ku pewa pikipiki moja ya traffic walitaka wapewe ulinzi wa Rais ? huku kuna uhalifu kama kwao?Ukiona Jambo linasemwa Sana na kila mtu ,basi jua lipo na kama halipo basi lajaaa ....!
Huyu jamaa kanishangaza sanaHivi huyu Jeff ana marinda kweli?
Huyo na Manara wantofauti gani?Nimeangalia interview ya huyu kijana na online tv ya south africa nimebaki na maswali lukuki kwanza kikawaida kwenye vipindi huwa anajifanya mnazi sana wa ligi ya south africa na viingereza vyake vya uongo uongo kiukweli kanishangaza sana.
Kama kweli Abdi Banda analalamika hakuongea na ule mtandao wa south africa basi atumie lawyers kuwashtaki wale jamaa ikichimbuliwa kwa makini atajulikana aliyeandika hiyo story maana hata ile english ilionyesha kabisa mwandishi ni kutoka bongo.
SITASHANGAA KABISA KWAMBA MWANDISHI WA ZILE MAKALA ILE YA MWAKA JANA KABLA YA KAIZER CHIEFS NA YA MWAKA HUU NI GEOFF LEA WA EFM. ABDI BANDA KAMA SIYO WEWE MUHUSIKA GET TO THE BOTTOM OF IT
Hajj hajafika level hiyo yule anawaambia behind the scenes na anachukuliwa kama rival kutoka yanga huyu anachukuliwa kama journalist ambayo kwa wenzetu ni kazi inayoheshimika tofauti na majinga ya huku kwetuHuyo na Manara wantofauti gani?
Nimeangalia interview ya huyu kijana na online tv ya south africa nimebaki na maswali lukuki kwanza kikawaida kwenye vipindi huwa anajifanya mnazi sana wa ligi ya south africa na viingereza vyake vya uongo uongo kiukweli kanishangaza sana.
Kama kweli Abdi Banda analalamika hakuongea na ule mtandao wa south africa basi atumie lawyers kuwashtaki wale jamaa ikichimbuliwa kwa makini atajulikana aliyeandika hiyo story maana hata ile english ilionyesha kabisa mwandishi ni kutoka bongo.
SITASHANGAA KABISA KWAMBA MWANDISHI WA ZILE MAKALA ILE YA MWAKA JANA KABLA YA KAIZER CHIEFS NA YA MWAKA HUU NI GEOFF LEA WA EFM. ABDI BANDA KAMA SIYO WEWE MUHUSIKA GET TO THE BOTTOM OF IT
Ni bwabwa kutambo sanaHivi huyu Jeff ana marinda kweli?
Mkuu ya kweli hayo? mbona hata insta kule jamaa wanakomalia hiyo issue wakidai toka chuo? au ni hasira za ujinga aliofanya?
Kwani wewe jamaa na huyo Geoff mna ugomvi gani?Nimeangalia interview ya huyu kijana na online tv ya south africa nimebaki na maswali lukuki kwanza kikawaida kwenye vipindi huwa anajifanya mnazi sana wa ligi ya south africa na viingereza vyake vya uongo uongo kiukweli kanishangaza sana.
Kama kweli Abdi Banda analalamika hakuongea na ule mtandao wa south africa basi atumie lawyers kuwashtaki wale jamaa ikichimbuliwa kwa makini atajulikana aliyeandika hiyo story maana hata ile english ilionyesha kabisa mwandishi ni kutoka bongo.
SITASHANGAA KABISA KWAMBA MWANDISHI WA ZILE MAKALA ILE YA MWAKA JANA KABLA YA KAIZER CHIEFS NA YA MWAKA HUU NI GEOFF LEA WA EFM. ABDI BANDA KAMA SIYO WEWE MUHUSIKA GET TO THE BOTTOM OF IT
Muulize ana ugomvi na Abdi banda hadi akamsingizia jambo kubwa vile? ana ugomvi na maafisa wa serikali ya Tanzania hadi akawasingizia kwenye zile makala zake?Kwani wewe jamaa na huyo Geoff mna ugomvi gani?
Achana na maisha ya watu fanya yakoMuulize ana ugomvi na Abdi banda hadi akamsingizia jambo kubwa vile? ana ugomvi na maafisa wa serikali ya Tanzania hadi akawasingizia kwenye zile makala zake?
Kama wewe ndiye Leah au kanjanja mwenzake , kitendo cha kumlisha maneno Abdi banda ili kutimiza lengo ni kibya sana tena huku ukimchonganisha na viongozi wa serikali mbona interview ya tv ya south africa ulivyoitukana simba hukutaja viongozi wa serikali unawatukana kwenye makala zisizo na jina la mwandishi?Achana na maisha ya watu fanya yako
aiseee... hii ngoma ni kuchafua taswira ya simba, na mtandao mkubwa kama huu ni hatari zaidi...
Leave people's business aloneKama wewe ndiye Leah au kanjanja mwenzake , kitendo cha kumlisha maneno Abdi banda ili kutimiza lengo ni kibya sana tena huku ukimchonganisha na viongozi wa serikali mbona interview ya tv ya south africa ulivyoitukana simba hukutaja viongozi wa serikali unawatukana kwenye makala zisizo na jina la mwandishi?
marinda anayatolea wapi?? walishakula zamani. kwanza baba yake anaitwa nani???Hivi huyu Jeff ana marinda kweli?