Inawezekana 'Herd Immunity' na hali ya hewa (Mazingira) ndio vitu vinavyotuokoa Watanzania dhidi ya COVID-19

Kabisa zaidi ya mwaka na nusu watu wanaranda randa tu bila ya kujikinga maana yake wengi walishaugua COVID na kunatengeneza herd immunity.

Watakuwepo wagonjwa wa hapa na pale, lakini kwa maamuzi ambayo yalikuwa reckless mwaka jana ya kusema liwalo na liwe COVID aiwezi kuwa tishio Tanzania, watu wengi mpaka sasa itakuwa walishapata sema ugonjwa wenyewe hauna madhara as that.

Wimbi la pili serikali ilipeleka mitungi ya Gas hospitali kubwa zote zikajiandaa hao wagonjwa awakutokea ilibeba tu mapadre ambao wanaishi kwa kujitengeka. Mmoja awakaingizia Corona ikafanya yake kama ilivyofanya ikulu; lakini kwenye jamii sasa hivi kuna herd immunity ya ugonjwa.

Hiyo report mbona aisemi hospitali zina wagonjwa wangapi wa COVID leo.

Ukiona JK havai barakoa na anaingia mitaani jua mambo shwari yule kuna watu wanamtonya hali ikiwa tete mahospitalini.
 
Pamoja na kutokuzingatia miongozo yoyote ya kupambana na Corona watu hawafi kama nchi nyingine.
Umejuaje kuwa watu hawafi kama nchi nyingine?Yaani umetumia kitu gani kujua kuwa Tanzania watu hawafi kama nchi nyingine?
 
Umejuaje kuwa haina effect kubwa?Yaani umetumia nini kujua kuwa Tanzania Corona haina effect kubwa?

easy! tuko kwenye mikusanyiko january to january, no masks, no sanitizers, no vaccines! effect ya corona tanzania ni almost zero, but najua tanzania inapokea wageni na wenyeji pia, so i said ALMOST ZERO sjasema exactly ZERO
 
Siyo daktari lakini wewe Ni mtu makini. Andiko lako zuri
 
Umejuaje kuwa haina effect kubwa?Yaani umetumia nini kujua kuwa Tanzania Corona haina effect kubwa?
we jamaa unaonekana unatamani sana corona iingie tz. nakuona unavo lazimishi ionekane tz kuna corona...ila ukweli ni kua hakuna corona tz. sisi huku mbeya tuna saranda tu mitaani tena kwa kujiachia kabisa lakini hakuna mtu anae umwa
 
we jamaa unaonekana unatamani sana corona iingie tz. nakuona unavo lazimishi ionekane tz kuna corona...ila ukweli ni kua hakuna corona tz. sisi huku mbeya tuna saranda tu mitaani tena kwa kujiachia kabisa lakini hakuna mtu anae umwa
Nimekuuliza swali dogo sana,wewe ulipaswa kujibu swali hilo badala ya kufanya personal attack.Kwa hiyo kama Mbeya hakuna mtu anaeumwa Corona hilo linathibitisha kuwa nchi nzima hakuna anaeumwa?
 
well said
 
easy! tuko kwenye mikusanyiko january to january, no masks, no sanitizers, no vaccines! effect ya corona tanzania ni almost zero, but najua tanzania inapokea wageni na wenyeji pia, so i said ALMOST ZERO sjasema exactly ZERO
Kwa nini hujibu swali langu la msingi?Nimekuuliza kuwa umetumia kigezo gani kujua kuwa effect ya Corona Tanzania ni almost zero?Yaani umejuaje?
 
Bavicha mliomba chanjo na lockdown zinakuja sasa hivi mnahaha tena kusema hali sio mbaya.
 
MAOMBI.
rais wacnchi kujitokeza hadharani na kutamka kuwa JANGA LA CORONA ANAMUACHIA MUNGU.
si Jambo dogo.wengi tulimuona amechanganyikiwa.
SASA MUNGU AMEAMUA KUTUKOSOA.
kuwa yeye yupo na ukimtegemea kwenye Jambo lolote anakujibu.
 
Mtoa mada una akilia nyingi Sana,wanaokubeza na kukupinga wana akilia mgando.
Kwanza kuumiza kichwa TU na kuja na wazo lako Ni mwanzo wa utafiti(research) Tosha.
Na kuanzia Hapo wengine wanaweza kuongeza kwa kwenda deep zaidi
Tatizo la Wachangiaaji wengi humu na husussani Watanzania huwa tunaviamini Sana vitu vikivyokwisha kamilika na hasa vilivyokamililishwa na wazungu.
Bila kujali hata hao wazungu inawezekana walipata wazo kutoka kwa Mtu mmoja great thinker kama wewe.Ndipo hao mabingwa wakaendeleza alipoishia mtoa wazo.
Kitu kingine Cha kushangaza kwa wachangiaaji wengi,badala ya kujadili mada wanajadili kosa la herufi.spelling wakati tayari wameshajua au walishaelewa kuwa ulitaka kusema Nini au ulimaanisha Nini,lakini ukakosea herufi TU.
Kosa la herufi bila kujua pengine ulikua umekusudia kuandika meno Fulani ukakosea kubonyeza herufi husika.

Hata hivyo mada yako inafikiriaha.
Iweje Nchi jirani na baadhi ya Nchi watu wanakufa kama kuku wa kideri lakini sisi so hivyo?
 
Brother Corona bado haijaisha duniani, tumuombe Mungu atuepushe na kikombe hiki..Hata India huko nyuka hawakuwaza siku moja italipuka vile ilivyo...walikuwa salama kama sisi.... hatujui kesho itakuwa zamu ya nani...

Covid 19 huwa inalipuka tu kama mzaha, mpaka sasa ziko nchi nyingi ambazo hazijawahi kuexperience madhara ya Covid19 lakini hii sio guarantee kwamba ndio wako salama hapana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…