Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
- Thread starter
-
- #41
Mungu katupa akili lazima tuitumie kwanza kabla ya kumtegemea/kushirikisha.MAOMBI.
rais wacnchi kujitokeza hadharani na kutamka kuwa JANGA LA CORONA ANAMUACHIA MUNGU.
si Jambo dogo.wengi tulimuona amechanganyikiwa.
SASA MUNGU AMEAMUA KUTUKOSOA.
kuwa yeye yupo na ukimtegemea kwenye Jambo lolote anakujibu.
Mungu katupa akili lazima tuitumie kwanza kabla ya kumtegemea/kushirikisha.
corona ipo unapotosha kwa kiwango kikubwawe jamaa unaonekana unatamani sana corona iingie tz. nakuona unavo lazimishi ionekane tz kuna corona...ila ukweli ni kua hakuna corona tz. sisi huku mbeya tuna saranda tu mitaani tena kwa kujiachia kabisa lakini hakuna mtu anae umwa
Yote uliosema ni kweli kabisa na hili ndio tatizo kubwa la sisi watanzania wakiwemo watumiaji wa JamiiForums.Mtoa mada una akilia nyingi Sana,wanaokubeza na kukupinga wana akilia mgando.
Kwanza kuumiza kichwa TU na kuja na wazo lako Ni mwanzo wa utafiti(research) Tosha.
Na kuanzia Hapo wengine wanaweza kuongeza kwa kwenda deep zaidi
Tatizo la Wachangiaaji wengi humu na husussani Watanzania huwa tunaviamini Sana vitu vikivyokwisha kamilika na hasa vilivyokamililishwa na wazungu.
Bila kujali hata hao wazungu inawezekana walipata wazo kutoka kwa Mtu mmoja great thinker kama wewe.Ndipo hao mabingwa wakaendeleza alipoishia mtoa wazo.
Kitu kingine Cha kushangaza kwa wachangiaaji wengi,badala ya kujadili mada wanajadili kosa la herufi.spelling wakati tayari wameshajua au walishaelewa kuwa ulitaka kusema Nini au ulimaanisha Nini,lakini ukakosea herufi TU.
Kosa la herufi bila kujua pengine ulikua umekusudia kuandika meno Fulani ukakosea kubonyeza herufi husika.
Hata hivyo mada yako inafikiriaha.
Iweje Nchi jirani na baadhi ya Nchi watu wanakufa kama kuku wa kideri lakini sisi so hivyo?
Huko kwengine umeangalia kama ulivyoangali huku bongo kwa maana umeangalia tu hali halisi ilivyo au umeangalia takwimu zao tu?Pamoja na kutokuzingatia miongozo yoyote ya kupambana na Corona watu hawafi kama nchi nyingine.
Hatuoni hospitali kuzidiwa wagonjwa na uhitaji mkubwa wa mashine za kusaidia kupumua, hatuoni sehemu za kuhifadhi maiti kuzidiwa maiti. Hivyo ni vitu ambavyo tunavisikia kwa wenzetu na ndio maana hata sasa tunahofia sana kuletewa corona kutoka nje ya nchi na si kuliko ndani ya nchi.Umejuaje kuwa haina effect kubwa?Yaani umetumia nini kujua kuwa Tanzania Corona haina effect kubwa?
Hospitali zilishapewa maelekezo kuwa zirudishe wagonjwa wa Corona nyumbani tangia kipindi cha Magufuli,sasa hospitali zitafurika vipi?Hatuoni hospitali kuzidiwa wagonjwa na uhitaji mkubwa wa mashine za kusaidia kupumua, hatuoni sehemu za kuhifadhi maiti kuzidiwa maiti. Hivyo ni vitu ambavyo tunavisikia kwa wenzetu na ndio maana hata sasa tunahofia sana kuletewa corona kutoka nje ya nchi na si kuliko ndani ya nchi.
Kwa kifupi huku huoni hali ya tofauti ambayo itakufanya uone athari za corona.
ivi we uko timam? hujasoma nlichoandika ama?Kwa nini hujibu swali langu la msingi?Nimekuuliza kuwa umetumia kigezo gani kujua kuwa effect ya Corona Tanzania ni almost zero?Yaani umejuaje?
Hakuna ulichoandika.Kama unafikiri kuwa kuna ulichoandika basi wewe ndiyo haupo timamu.ivi we uko timam? hujasoma nlichoandika ama?
Hospitali zilishapewa maelekezo kuwa zirudishe wagonjwa wa Corona nyumbani tangia kipindi cha Magufuli,sasa hospitali zitafurika vipi?
una umri gan?Hakuna ulichoandika.Kama unafikiri kuwa kuna ulichoandika basi wewe ndiyo haupo timamu.
umechanganyikiwa?una umri gan?
Unaelewa hata maana ya siasa?Siasa ni nini?ukiachana siasa ukajikita kwenye mada ilioyongelewa nadhan utapata busara zake alizoongea, hata yeye pia tunapishana nae sana kwenye siasa ila hua anamke sense sometimes, sasa jikite kwenye hoja!
Unazungumzia wagonjwa au watu wenye dalili za corona? maana hata huko ulaya hawaweki hospitali watu kisa tu una dalili za corona ,sasa mgonjwa kama mgonjwa wa corona unamrudisha vp nyumbani? yani kwamba mtu ambaye teyari yupo kwenye hali mbaya unamwambia arudi nyumbani kisa ana corona au vp hebu fafanua.Hospitali zilishapewa maelekezo kuwa zirudishe wagonjwa wa Corona nyumbani tangia kipindi cha Magufuli,sasa hospitali zitafurika vipi?
tupatie takwimu za ugonjwa hapo ulipoNimekuuliza swali dogo sana,wewe ulipaswa kujibu swali hilo badala ya kufanya personal attack.Kwa hiyo kama Mbeya hakuna mtu anaeumwa Corona hilo linathibitisha kuwa nchi nzima hakuna anaeumwa?
Kama serikali haitoi takwimu mimi nitatoa wapi takwimu?tupatie takwimu za ugonjwa hapo ulipo