Inawezekana hili la mahindi lilikuwa namna ya kutafuta pakupotezea wadadisi wa mambo


Kwani wewe haujui procedure za ukuzaji mpaka usubiri uambiwe na Wakenya, linafahamika sana kwa wakulima wengi huwa hawawi makini wakati wanatumia kemikali za kutunza mahindi, na ndio maana inashauriwa usiyasage moja kwa moja bila kukoboa, kuna hata Mtanzania humu alishauri kwamba yeye huwa hatumii ugali wa dona.

Hivyo acheni kujifanya mnashangaa, kama ikitokea lina ukweli basi fanyieni kazi sio kulia lia, ila kama ni siasa za kumficha mnayesema kaletwa kuuguzwa huku basi itakua ujinga kwa viongozi wetu.
 
Vipi njaa imeanza kuwaua au?

Halafu ujue hii hospitali ya Nairobi hospital ndiko aliuguzwa yule Lissu mliyempiga marisasi 38, haya maisha bana.
 
Halafu ujue hii hospitali ya Nairobi hospital ndiko aliuguzwa yule Lissu mliyempiga marisasi 38, haya maisha bana.
Then yule aliyepigwa risasi now anauliza jamani magufuli yupo wapi mbona hatumuoni? Mzee hospitali yenu Nairobi inaonekana ina huduma nzuri sana.
 
then yule aliyepigwa risasi now anauliza jamani magufuli yupo wapi mbona hatumuoni??? Mzee hospitali yenu Nairobi inaonekana ina huduma nzuri sana

Japo sio hospitali ya kajamba wa kawaida kama mimi, kwa mfano sijui kama leo nikiamua kupeleka pua hapo kuwajulia hali waliolazwa humo, kama nitaruhusiwa kupita geti la nje.
 
Inawezekana hilo la mahindi ya Mexico kuwa kweli.
Inawezekana kweli mahindi ya Watanzania yana sumu.
Lakini pia inawezekana hilo la mahindi limeandaliwa kufunika tetesi za kiongozi wa Afrika kutibiwa huku kimya kimya.
Aisee...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…