Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Inawezekana kweli ana 13. Watoto wanawahi kukua sasa hivi.Miaka 13 unaijua lakini? Huyo ni zaidi ya miaka 20.
Mhh! Hapa ni copyright aisee.View attachment 2738172
Huyu binti anaitwa Miche Minnies ana miaka 13 na ni mchezaji wa timu ya wanawake ya Mamelodi Sundowns ya Africa Kusini.
Miche Minnies anavuma mtandaoni kwa ufanano wake na gwiji wa Brazil Ronaldinho. Ronaldinho wa Brazil alitembelea Afrika Kusini hapo awali, na hivyo imezua mzaha kuwa aliacha mtoto.
View attachment 2738173
Yupo Mamelod timu ya wakubwa ya wanawake. Ana 21 huyo.Inawezekana kweli ana 13. Watoto wanawahi kukua sasa hivi.
Upo sahihi kabisa mkuu,umri wa huyo Binti ni miaka 21 salute kwako mkuu.Miaka 13 unaijua lakini? Huyo ni zaidi ya miaka 20.