Inawezekana kabisa binadamu mwenye IQ ndogo kuliko wote duniani ni Mtanzania

Inawezekana kabisa binadamu mwenye IQ ndogo kuliko wote duniani ni Mtanzania

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
9,205
Reaction score
22,219
GT
Ni aibu kuitwa Mtanzania. The reference kwamba binadamu walikuwa Nyani nadhani ilichukuiiwa Tanzania.
IMG-20250929-WA0059.jpg

 
Fuvu la Jitu la Kale zaidi lilipatikana wapi ?

Na hapo ndio nyumbani kwa Baboons.
Historia bhana😁😁
 


Ninamuomba Allah Aidumishe Amani ya Nchi yetu.

Nasaha kwa Ndugu zangu Waislam, msitumike kuharibu Amani ya Nchi hii. Hii Amani ni Neema kubwa kutoka kwa Allah kwetu sisi. Tuishukuru Neema hii na tuilinde, tusiiharibu.

Tusikubali Waislam kutumika kuiharibu Amani ya Nchi.

Maandamano ni Haramu katika Uislam.

Ninamuomba Allah kwa Majina Yake Mazuri na Matukufu ,Ambaye Hapana Mola Apasae Kuabudiwa kwa Haki Isipokuwa Yeye, Mmoja Pekee Asiye na mshirika yoyote, Aidumishe Amani yetu na asifanikishe hila na mipango ya yoyote anayetaka kuivuruga Amani yetu. Allahumma Aamiin.
 
Back
Top Bottom