Inawezekana Kikeke katumwa na kufadhiliwa kimkakati na waajiri wake wa zamani?

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Kikeke nikimuangalia kama simuamini sana, ila muda utaongea, namuona kama pandikizi la kimkakati, ngoja tuone na chombo chake kinachofanana na kofia ya watawala wa alikotoka- I mean kwa muajiri wake wa zamani
 
A

Na wewe si unayoko? Umbea Fm
 
Hakuna kitu kama hicho.huyu ni mzalendo tu hataki mambo ya kijinga yanayofanywa na serikali hii ovu.
 
Mbonaa mmeanzaa kufanyaa kabla chombo hakijafikisha hata mwakaa
 
Hakuna kitu kama hicho.huyu ni mzalendo tu hataki mambo ya kijinga yanayofanywa na serikali hii ovu.
Aache wananchi waamue upi ujinga, upi sahihi, yeye ndio alikuwa anawasiliana na Mbowe mpaka akajua Mbowe ataanza maandamano wapi, hatujui wanapanga jingine lipi kwa siri, namba za siri za viongozi wa CDM anazo Kikeke, na yeye huwauzia info chawa wake
 
Kikeke nikimuangalia kama simuamini sana, ila muda utaongea, namuona kama pandikizi la kimkakati, ngoja tuone na chombo chake kinachofanana na kofia ya watawala wa alikotoka- I mean kwa muajiri wake wa zamani
Kwani hii nchi si iko uchi tu?
Kuna haja gani kutumia pesa kuweka pandikizi
 
  • Thanks
Reactions: Ilu
..Siprian Musiba amerudi kwa nguvu na ari mpya. Sasa hivi anatangaza toka jiji la Arusha.
 
Dahhh ila wacha bhana, musiba aliwah kuleta list ya watu hatari kwa taifa letu akiwemo zuhura yunus lakn leo hii zuhura anajimwaga white house wanavotaka, huku yeye (musiba) yupo nyamuswa -bunda.
 
20241002_112011.jpg
 
Musiba ni wa Kibara Jineri huko, Mwibara, sio Nyamuswa wala Nyabakiriti
 
  • Thanks
Reactions: al1
Back
Top Bottom