Inawezekana Kinana na genge lake wanamuhujumu Mama?

Nashauri Mama awe makini sana. Kinana ana watu wake wenye uchungu na kufikiria wenyewe ndiyo wenye chama. Watu hao ni

1. Makamba
2. Nauye
3. Mwigulu
4. Ridhiwani

Na wanataka kutafuta njia ya kumweka mtu wao hasa Makamba. Mwigulu kaingia kwenye hiyo group kwa kujipendekeza. Kinana alimwambia Mama yeye anaweza kujadiliana na Chadema halafu kimenuka matapishi yake anataka ale Mama. Ubaya Mama aliweka imani sana kwa tapeli huyu Kinana.

Kinana anajulikana kwa kujali biashara zake binafsi na yeye anachukulia chama kama njia ya kulinda wao. Namshauri Mama kurudi mezani na yeye mwenyewe akiwa mezani maana njama za kumwaribia zimebahidika.

Makamba badala ya kufukuzwa alipata nafasi nyeti! wakina kikwete na kinana wamegeuza CCM kama yao binafsi. Bila Mama kuwa mkali watamwachia matapishi ambayo hata weza kuyasafisha halafu watampamba Makamba kama vile ndiyo ataweza kuleta suluhisho.

Lakini ukweli ni kwamba wakina kinana na Kikwete wanataka kuwa Raisi kwa remote control.
Haya! Watatu wameondoka, je umeridhika?
 
The gang?🤔😳🙇🏿‍♂
IMG-20240729-WA0080.jpg
 
Hayo uliyoyataja ndio Majipu makubwa ndani ya CCM Mama Samia awe Mungalifu sana na hyo majipu.
 
Genge la vitunguu na nyanya au?
Amphibians
 
Amphi
Mkuu ulipotea sana
Nipo mkuu wangu
 
Chama CCM kimechokwa kimechakaa kimezeheka vibaya hakuna haja ya kutafuta Mchawi.
Acha wang'atane, watafunane, wamezane na mama anadhani kupata watu et waunga juhudi Toka wapinzani aliowataja Nyerere ndo shwari itapatikana no. CCM imeishiwa mbinu.
 
Back
Top Bottom