Inawezekana ku-relaminate cheti ambacho kipo laminated na kikasomeka vizuri?

Inawezekana ku-relaminate cheti ambacho kipo laminated na kikasomeka vizuri?

Naomba kuuliza. Hivi uki re- laminate cheti kilicholaminat-iwa, may be lamination ya mwanzo imechoka, maandishi yataendelea kuonekana vizuri! Au yatapauka? Na je kitakuwa imara au ndo yaleyale??
to be on the sefe side, make another lamination ontop of the former one!
 
Ufeki au uhalali wa Cheti ni namba yake pamoja na barcode ( msimbo milia)
Ni kweli lakini unaadhania kama cheti kimefutika futika baadhi ya maneno, si ni mtihani? Chenyewe original hakionekani vizuri hiyo copy yake itakuwaje?na kwenye maombi ya kazi kwanza wanataka copy, si wanaweza fikiria kama una wafanyia utani??
 
Mpaka cheti kinachakaa, kilikua kinatumika kwa matumizi gani? Mfano mimi hapa nikishamaliza tu kutoa copy, huwa navirudisha mahali salama ninapo vitunzia.

Ni miaka mingi imepita. Lakini vyeti vyangu vina ubora ule ule ndani ya lamination. Jitahidi tu kuwa mtunzaji mzuri ili kuepukana na usumbufu usio wa lazima.
 
😂😂😂😂😂
Si hadi wawe na huruma ya kukihitaji hicho cheti OG, ndio wakuombe hizo namba za cheti na hiyo barcode?kama zipo lakini, au wakutume uende sijui baraza la mtihani au chuoni!!hapo lazima utakuwa una sifa za kipekee sana kwenye nafasi hizo labda kidogo kama ulikuwa unafanya kazi NASA, na hizo nafasi ni za ATCL!!hapo watahangaika kukusubilia, lakini hizi za SANDA KALAWE.
 
Ufeki au uhalali wa Cheti ni namba yake pamoja na barcode ( msimbo milia)
Ndio maana nika sema: "Unaweza ukaonekana kama vile una cheti fake" sijasema ni cheti fake,ni sawa na mtu kuitilia mashaka noti iliyochakaa au noti ambayo maandishi yake na namba zake hazipo clear.
 
Back
Top Bottom