Inawezekana, ww tu na flexibility yakoMko salama wakuu?
Nilikua nauliza, inawezekana kubadili kituo cha kufanyia usahili kwa hizi ajira za tra.
Mfano nimepangiwa dar ila kwa sasa niko Mwanza.je inawezekana nikafanyia kituo kilichopo mwanza.
Ni hatua gani za kufuata?
Mwenye kujua anijuze tafadhali.
Vipi umefanikiwa kupata majibu, je umewasiliana nao wakasemajeMko salama wakuu?
Nilikua nauliza, inawezekana kubadili kituo cha kufanyia usahili kwa hizi ajira za tra?
Mfano nimepangiwa dar ila kwa sasa niko Mwanza.je inawezekana nikafanyia kituo kilichopo mwanza?
Ni hatua gani za kufuata?
Mwenye kujua anijuze tafadhali.
Piga Simu kwa wahusika ongea yote hayaMko salama wakuu?
Nilikua nauliza, inawezekana kubadili kituo cha kufanyia usahili kwa hizi ajira za tra?
Mfano nimepangiwa dar ila kwa sasa niko Mwanza.je inawezekana nikafanyia kituo kilichopo mwanza?
Ni hatua gani za kufuata?
Mwenye kujua anijuze tafadhali.
Wanataka OG na CopySalama ndugu, hivi ukiwa na photocopy ya cheti original kimepotea hauruhusiwi kufanya usahili
Ulielewa masharti waliyoandika? Wakisema njoo na original hujaelewa nini labda?Salama ndugu, hivi ukiwa na photocopy ya cheti original kimepotea hauruhusiwi kufanya usahili