Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama jina lisipotokea nikiandika tena itakuaje?Yaah! Inawezeka, utakapo maliza kufanya Registration utaandika barua ya kubadili coz, then utasubili majib ya barua yako ya mda wa wiki kadhaa km utakuwa umefanikiwa utasoma coz yako mpya n kama jina lispotoka basi utaendelea kusoma course uliyopangiwa tangu mwanzo.
Mkuu nina jamaa yngu kafaulu pale civil eng lkn ashaanz private school sasa hv, je cwez kuitumia hii nafasi?KWA DIT MAY BE.
ILA KWA A.T.C NI NGUMU SANA.
NJIA SAHIHI UKIFIKA CHUONI FANYA MBINU YA KUTAFUTA MTU WA KUBADILISHANA NAYE. IM SURE KWA HIYO fani utawapata.
hbr zenu wakuu, nashukur Mung
nimebhtika kupata nafax ya kuendelea na masomo.Swali lang ni kuwa
nimechaguliwa DIT electronics&telecom lkn mm ckuichagua na wala
siitaki kwa hiyo nataka nibadilishe nikachukue Civil eng, je
inawezekana?
Fungi, Snipa, na wengne mnaojua Nawakaribisha mnisaidie hili
wakuu!!
Possible! Kama utapata wa kubadilishana nae
NB:Nmemuulza Admission officer wa Dit