Inawezekana kubadili programme ulopangiwa DIT

Inawezekana kubadili programme ulopangiwa DIT

2in1

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2014
Posts
224
Reaction score
109
Habari zenu wakuu, nashukuru Mungu nimebahtika kupata nafasi ya kuendelea na masomo.

Swali langu ni kuwa nimechaguliwa DIT electronics&telecom lakini mimi sikuichagua na wala siitaki kwa hiyo nataka nibadilishe nikachukue Civil eng.

Je inawezekana?
 
hbr zenu wakuu, nashukur Mung nimebhtika kupata nafax ya kuendelea na masomo.Swali lang ni kuwa nimechaguliwa DIT electronics&telecom lkn mm ckuichagua na wala siitaki kwa hiyo nataka nibadilishe nikachukue Civil eng, je inawezekana?
Fungi, Snipa, na wengne mnaojua Nawakaribisha mnisaidie hili wakuu!!
 
Yaah! Inawezeka, utakapo maliza kufanya Registration utaandika barua ya kubadili coz, then utasubili majib ya barua yako ya mda wa wiki kadhaa km utakuwa umefanikiwa utasoma coz yako mpya n kama jina lispotoka basi utaendelea kusoma course uliyopangiwa tangu mwanzo.
 
KWA DIT MAY BE.

ILA KWA A.T.C NI NGUMU SANA.

NJIA SAHIHI UKIFIKA CHUONI FANYA MBINU YA KUTAFUTA MTU WA KUBADILISHANA NAYE. IM SURE KWA HIYO fani utawapata.
 
kama jina lisipotokea nikiandika tena itakuaje?
 
KWA DIT MAY BE.

ILA KWA A.T.C NI NGUMU SANA.

NJIA SAHIHI UKIFIKA CHUONI FANYA MBINU YA KUTAFUTA MTU WA KUBADILISHANA NAYE. IM SURE KWA HIYO fani utawapata.
Mkuu nina jamaa yngu kafaulu pale civil eng lkn ashaanz private school sasa hv, je cwez kuitumia hii nafasi?
 
hbr zenu wakuu, nashukur Mung
nimebhtika kupata nafax ya kuendelea na masomo.Swali lang ni kuwa
nimechaguliwa DIT electronics&telecom lkn mm ckuichagua na wala
siitaki kwa hiyo nataka nibadilishe nikachukue Civil eng, je
inawezekana?
Fungi, Snipa, na wengne mnaojua Nawakaribisha mnisaidie hili
wakuu!!

Possible! Kama utapata wa kubadilishana nae
NB:Nmemuulza Admission officer wa Dit
 
Back
Top Bottom