Dunia ya Sisia ndio ipi?Mafundisho makuu ya Yesu Kristo ni Upendo.
1. Kuwapenda jirani zako kuliko unavyojipenda mwenyewe
2. Kuwapenda na kuwaombea maadui zako.
3. Ukipigwa shavu moja ugeuze na lingine
4. Kusamehe saba mara sabini
Haya mambo ukiyaangalia ni kama nadharia tu, hakuna mtu anayeishi hivi au anayeweza kuishi hivi katika ulimwengu.
Mpende jirani yako kama nafsi yako, sio zaidi ya ujipendavyo.1. Kuwapenda jirani zako kuliko unavyojipenda mwenyewe
Huyo ni PauloNayaweza mambo yote katika YEYE Anitiaye nguvu!
Inapendeza...Inawezekana, mm ndio utamaduni wangu huo
Ndicho anachofanya Tundu Lissu, ni Mkombozi Wa TaifaKuna mtu anaweza kumpenda jirani yake kama nafsi yake mwenyewe?
Lissu akipata madaraka lazima atawanyoosha vilivyo watesi wake na watesi wa Taifa, hawezi kuwachaa tu.Ndicho anachofanya Tundu Lissu, ni Mkombozi Wa Taifa
Utawala wa Tundu Lissu utakuwa ni utawala wa utii wa sheria, uwazi, uadilifu na utawala bora.Lissu akipata madaraka lazima atawanyoosha vilivyo watesi wake na watesi wa Taifa, hawezi kuwachaa tu.