Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Katika kila tukio kubwa lilowahi kutokea Duniani kuna watu wengu wanaoamini conspiracies mbalimbali kuhusu hilo tukio kinyume na historia inayoaminiwa na wengi.
Mfano kuna watu wanaamini mauaji ya kimbari dhidi ya wayahudi (holocaust)hayajawahi kutokea, CIA ilimuua Kennedy, dunia ni tambarare n.k
Miaka mingi baadaye Inawezekana likaja kundi la watu wasioamini utawala wa ubaguzi wa rangi(apartheid) iliwahi tokea Africa Kusini?