Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 6,479
- 4,974
Kamuulize Samia. Tako la mama yako. 🖕🖕🖕Habarini wadau.
Kutokana na udogo wa kipato na changamoto ya kutopatikana kwa miti ya maana ya kupaulia, napata wazo kichwani la kujenga na kupaua kwa kutumia vyuma. Sijajua gharama yake ila hiyo ndo ndoto niliyonayo......nahisi hilo litakuwa nafuu huko mbele (kwa maana nitatulia muda mrefu kabla sijalazimika kujenga tena (kufanya ripea).
Wadau, linawekana hilo kwa kipato hicho kwa ujenzi utakaochukua miaka 5?!!
Vyuma ndo kenchi au?Habarini wadau.

Aiseeeee, mambo ya chawa wa mama hayo.Kamuulize Samia. Tako la mama yako. 🖕🖕🖕
Aisee! Shukrani mkuu.Kamuulize Samia. Tako la mama yako. 🖕🖕🖕
Kurokana na udogo wa kipato mkuu.Kujenga nyumba miaka mitano? Sawa.
Habarini wadau.
Kutokana na udogo wa kipato na changamoto ya kutopatikana kwa miti ya maana ya kupaulia, napata wazo kichwani la kujenga na kupaua kwa kutumia vyuma. Sijajua gharama yake ila hiyo ndo ndoto niliyonayo......nahisi hilo litakuwa nafuu huko mbele (kwa maana nitatulia muda mrefu kabla sijalazimika kujenga tena (kufanya ripea).
Wadau, linawekana hilo kwa kipato hicho kwa ujenzi utakaochukua miaka 5?!!
Hata Ukiwa na Lak 4 inajengaHabarini wadau.
Kutokana na udogo wa kipato na changamoto ya kutopatikana kwa miti ya maana ya kupaulia, napata wazo kichwani la kujenga na kupaua kwa kutumia vyuma. Sijajua gharama yake ila hiyo ndo ndoto niliyonayo......nahisi hilo litakuwa nafuu huko mbele (kwa maana nitatulia muda mrefu kabla sijalazimika kujenga tena (kufanya ripea).
Wadau, linawekana hilo kwa kipato hicho kwa ujenzi utakaochukua miaka 5?!!
😅😅😅 AiseeeKamuulize Samia. Tako la mama yako. 🖕🖕🖕
Ndiyo, kenchi na lati kabisa. Wakati huo huo nguzo kuu pia vyuma.Vyuma ndo kenchi au?
Sawa. Vp, inawezekana au haiwezekani ewe nyumbu?Hizi ndio akili halisi za machawa wa samia..mshahara wa laki 8 upaue kwa chuma?😆😆
Aliyequote #2 amekwambia ukamuulize mama yako samiaSawa. Vp, inawezekana au haiwezekani ewe nyumbu?
Wala usione kitu cha ajabu.Kurokana na udogo wa kipato mkuu.
Sawa. Vp, inawezekana au haiwezekani ewe nyumbu
Mi nakuiliza wewe au una jibu hilo hilo?!!Aliyequote #2 amekwambia ukamuulize mama yako samia
Vyuma mbona expensive kuliko udongo/tofali au mbaoNdiyo, kenchi na lati kabisa. Wakati huo huo nguzo kuu pia vyuma.
Ahsante mkuu, unaweza kitima hata keshoHapa jiran yangu kuna kanisa naona wanaweka kenchi kwa chuma ingekuwa mchana ningekupigia picha ukaona jinsi imependeza
Shukrani kwa kuttia moyoWala usione kitu cha ajabu.
Ni kawaida kabisa.
Mm pia ni interval ya miaka 5 kuanzia kununua kiwanja had nyumba kuisha had kuzungushia ukuta.
Nimejenga kwa salary na pia huku unahakikisha maisha mengine yanaenda. Its Not a joke.
nadhan ambao hawajawah kujenga ndio watashangaa wakisikia nyumba inajengwa kwa miaka 5.