GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,645
- 10,867
Mkuu, hufahamu ngwaraπNgwara ni zao gani tena?[emoji849]
Lina matumizi gani?
Lipoje hata kapicha tupia.
Ngwara ilikua 2012-2017 1kg 5000+ ukipiga trip Moja Kenya ukirudi lazima ufanye jambo!Mkuu, hufahamu ngwaraπ
Ni mazao jamii ya kunde. Yana rangi nyeusi.
Ni "matamu" sana, yanapatikana kwa wingi Arusha na Manyara.
Wakenya wanayapenda mno. Ni "matamu" na yana utajiri wa virutubisho muhimu kwa afya.
Hali ikoje kwa sasa mkuu?Ngwara ilikua 2012-2017 1kg 5000+ ukipiga trip Moja Kenya ukirudi lazima ufanye jambo!
Lakini mkuu, kukimwagiliziwa alau mara moja au mbili kwa mwezi itakubali?Sidhani kama ni sahihi sana kulima kiangazi mara nyingi hua wanapanda mbegu mwezi wa nne mwishoni au tano mwanzoni issue siyo mvua tu apana Kuna hali ya hewa
Ngwara inachukua miezi minne mpaka mitano hadi uvune, kwa maeneo yanayolima ngwara mwezi wa nne mpaka nane hali ya hewa ni ya baridi sana na mvua za rasha rasha zikistop tu hali ya hewa inakua joto/jua kali ndo ngwara zinakauka vzr tayar kwa mavuno
Ukisema ulime kiangazi means utalima Kati ya mwezi wa 8 au tisa itakua kuharibiwa na mvua za October mwishoni, November na December
Hyacinth beanNgwara ni zao gani tena?[emoji849]
Lina matumizi gani?
Lipoje hata kapicha tupia.
Tangu mwendakuzimu alivovuruga hali ya hewa boda mambo yalisua sua sanaHali ikoje kwa sasa mkuu?
Sawa mkuuHyacinth bean
β πππNgwara nilizikuta zinalimwa Babati maeneo ya Dareda hata ndani ya Bonde la Kiru-Babati Vijijini..mwanzoni nilidhani ni jamii ya Mbaazi/Dengu
Its good kua mbishi, lakn om the flip side, jaeibu kuangalia maelezo ya jamaa kwa kina,Lakini mkuu, kukimwagiliziwa alau mara moja au mbili kwa mwezi itakubali?
Wakati mwingine ninakuwa na "kaubishi" kazuri, kuamua kufanya jambo tofauti na ilivyozoeleka.
Mwakani, nitajaribisha kulima eneo dogo kwenye mwezi wa Sita hivi au mwishoni mwa mwezi May. Kwa kuwa mvua huanza mwezi wa kumi, zitakuta zimeshavunwa.
Nitalima kwa lengo la kujibu kwa vitendo swali nililolileta humu jukwaani!
Tutaonaπ
Mkuu, nimemwelewa mjibu hoja na wadau wengine pia. Ninachotaka kufanya ni jaribio, kuona kitakachotokea. Naamini "uwanja" wa majaribio ungali wazi. Na kwa kuwa ni majaribio, matokeo yo yote nitakayoyapata yatakuwa majibu sahihi.Its good kua mbishi, lakn om the flip side, jaeibu kuangalia maelezo ya jamaa kwa kina,
Ngwara n jamii ya maharage, na maharage hayapendi maji mengi.
So technically unaeza kulima kweli kwa hyo njia yako, yes yatastawi vzur lakn yatakapokomaaa ready kuvunwa ndo mvua zitakua zmeanza so possibility ni kubwa yataozea shambani.
Ni mtazamo tu.
πππHyacinth bean
π€£π€£π€£Ngwara, mie nikajua ni mtama π
Mie ningekuwa wa kwanza kupata 0 ππ€£π€£π€£
Ingelikuwa ni mtihani wengi wangefeli.