Nomadix
JF-Expert Member
- Jan 5, 2025
- 2,411
- 6,646
Habarini wanajamvi.
Inatokea unatumia mtandao wa kijamii kama JamiiForums,Instagram,WhatsApp ama X
...
Kwenye moja na mbili mtu anasema kakuelewa au wewe unamwambia umemuelewa hata kabla hujamuona hata kwa picha, hii huwa ni tamaa au mapenzi?
Me naona kama mapenzi ya kweli yameambatana na tamaa fulani hivi, ndio maana tunasema natamani kuwa na yule mtu.
Swali langu ni unaweza kumpenda mtu uliekutana nae mtandaoni bila kumtamani?
NB: Hayana muongozo, tunaambizana tu.