Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona mimi sina 😀Mbona unaanzia mbali mkuu? Humu kila mtu ana wake ulibaki wewe tu. Fanya kumuendea PM.
Hata hawa ni hivyo hivyo. Siku zote kwenye maisha kuna marafiki. Kuna mwingine anaweza kuwa opposite sex lakini ukawa unampenda pengine kwa uchangamfu wake, vichekesho, ukarimu, yaani akikosekana unajisikia kama kuna kitu kimepungua.Ni kweli ila nauliza kwa context ya wale unaokutana nao mtandao wa kijamii eg. JF
Duh ni ngumu ile hali ya kupenda always Kuna kitu ume tamani kwake it doesn't ni kitu gani ume tamani ila huwez penda bila kutamaniMbona mimi sina 😀
😄Unknown people wapo humu kamwe simuamin mtu hataaa Niko vizur kwenye kumsoma mtu
Hakika ni kweli wao wanasema hakuna urafiki wa mwanamke na mwanamme labda wawe ni nduguHata hawa ni hivyo hivyo. Siku zote kwenye maisha kuna marafiki. Kuna mwingine anaweza kuwa opposite sex lakini ukawa unampenda pengine kwa uchangamfu wake, vichekesho, ukarimu, yaani akikosekana unajisikia kama kuna kitu kimepungua.
Mno, mkishaheshimiana hakuna kinachoharibika.Lakini ni wachache sana
noumer sana afu inatokea(ga) yule pisi unaempenda bila kumtamani huwa hata hajali na kama atajaa kwenye mfumo hamdumu mnaachana.My first love nilimpenda wala sikumtamani .kusikia sauti yake tu nilikuwa naridhika siku yangu inakuwa nzuri
Na wala sikuwahi kumpicture na sex naye . Nilikuwa na miaka 19 umri balee ishachanganya lakini wala sikumawaza ilo . It was guinely love .
Second love nilitamani ndio nikapenda nilitongoza nipige nipite hivi lakini ile constant supply of puzzy nikajenga bond nika fall mazima . Hii ndio ilinusumbua zaidi demu alivyorud kwao kuolewa yaani muwindaji nikawa muwindwaji
Kutamani kwanza, then vinafwata vingineHabarini wanajamvi.
Inatokea unatumia mtandao wa kijamii kama JamiiForums,Instagram,WhatsApp ama X
...
-kwenye moja na mbili mtu anasema kakuelewa au wewe unamwambia umemuelewa hata kabla hujamuona hata kwa picha, hii huwa ni tamaa au mapenzi?
-Me naona kama mapenzi ya kweli yameambatana na tamaa fulani hivi, ndio maana tunasema natamani kuwa na yule mtu.
-Swali langu ni unaweza kumpenda mtu uliekutana nae mtandaoni bila kumtamani?
NB: Hayana muongozo, tunaambizana tu.
Hapo utoto bado unakuwanao ingawa unaweza kubahatika lkn kiukwel wanawake wa mtandao wanaishi kimtandao hivyoivyoHabarini wanajamvi.
Inatokea unatumia mtandao wa kijamii kama JamiiForums,Instagram,WhatsApp ama X
...
-kwenye moja na mbili mtu anasema kakuelewa au wewe unamwambia umemuelewa hata kabla hujamuona hata kwa picha, hii huwa ni tamaa au mapenzi?
-Me naona kama mapenzi ya kweli yameambatana na tamaa fulani hivi, ndio maana tunasema natamani kuwa na yule mtu.
-Swali langu ni unaweza kumpenda mtu uliekutana nae mtandaoni bila kumtamani?
NB: Hayana muongozo, tunaambizana tu.
Unatoa Siri za area 51
Hayamkuu kuwa na heshima me sio demu
Ni kweli ila urafiki wa me na ke mara nyingi unaingiwa dosari sababu ya tamaa za kimapenzi kwa mmojawapo ndio maana wanasema "hakuna urafiki wa mwanaume na mwanamke labda awe dada,mama au ndugu"Hata hawa ni hivyo hivyo. Siku zote kwenye maisha kuna marafiki. Kuna mwingine anaweza kuwa opposite sex lakini ukawa unampenda pengine kwa uchangamfu wake, vichekesho, ukarimu, yaani akikosekana unajisikia kama kuna kitu kimepungua.
Mapenzi ya kimtandao yanaishia kimtandao, mkikutana mkachakatana upendo unakata. Inakuwa hamkupendana ila mlitamaniana.Hapo utoto bado unakuwanao ingawa unaweza kubahatika lkn kiukwel wanawake wa mtandao wanaishi kimtandao hivyoivyo
Nkwel kabsaMapenzi ya kimtandao yanaishia kimtandao, mkikutana mkachakatana upendo unakata. Inakuwa hamkupendana ila mlitamaniana.