Inawezekana kumpenda mtu bila kumtamani

Inawezekana kumpenda mtu bila kumtamani

Ni kweli ila nauliza kwa context ya wale unaokutana nao mtandao wa kijamii eg. JF
Hata hawa ni hivyo hivyo. Siku zote kwenye maisha kuna marafiki. Kuna mwingine anaweza kuwa opposite sex lakini ukawa unampenda pengine kwa uchangamfu wake, vichekesho, ukarimu, yaani akikosekana unajisikia kama kuna kitu kimepungua.
 
Hakika ni kweli wao wanasema hakuna urafiki wa mwanamke na mwanamme labda wawe ni ndugu
 
My first love nilimpenda wala sikumtamani .kusikia sauti yake tu nilikuwa naridhika siku yangu inakuwa nzuri

Na wala sikuwahi kumpicture na sex naye . Nilikuwa na miaka 19 umri balee ishachanganya lakini wala sikumawaza ilo . It was guinely love .

Second love nilitamani ndio nikapenda nilitongoza nipige nipite hivi lakini ile constant supply of puzzy nikajenga bond nika fall mazima . Hii ndio ilinusumbua zaidi demu alivyorud kwao kuolewa yaani muwindaji nikawa muwindwaji
 
noumer sana afu inatokea(ga) yule pisi unaempenda bila kumtamani huwa hata hajali na kama atajaa kwenye mfumo hamdumu mnaachana.
 
Habarini wanajamvi.

Inatokea unatumia mtandao wa kijamii kama JamiiForums,Instagram,WhatsApp ama X
...
-kwenye moja na mbili mtu anasema kakuelewa au wewe unamwambia umemuelewa hata kabla hujamuona hata kwa picha, hii huwa ni tamaa au mapenzi?
-Me naona kama mapenzi ya kweli yameambatana na tamaa fulani hivi, ndio maana tunasema natamani kuwa na yule mtu.
-Swali langu ni unaweza kumpenda mtu uliekutana nae mtandaoni bila kumtamani?
NB: Hayana muongozo, tunaambizana tu.
Kutamani kwanza, then vinafwata vingine
 
Hapo utoto bado unakuwanao ingawa unaweza kubahatika lkn kiukwel wanawake wa mtandao wanaishi kimtandao hivyoivyo
 
Hata hawa ni hivyo hivyo. Siku zote kwenye maisha kuna marafiki. Kuna mwingine anaweza kuwa opposite sex lakini ukawa unampenda pengine kwa uchangamfu wake, vichekesho, ukarimu, yaani akikosekana unajisikia kama kuna kitu kimepungua.
Ni kweli ila urafiki wa me na ke mara nyingi unaingiwa dosari sababu ya tamaa za kimapenzi kwa mmojawapo ndio maana wanasema "hakuna urafiki wa mwanaume na mwanamke labda awe dada,mama au ndugu"
 
Hapo utoto bado unakuwanao ingawa unaweza kubahatika lkn kiukwel wanawake wa mtandao wanaishi kimtandao hivyoivyo
Mapenzi ya kimtandao yanaishia kimtandao, mkikutana mkachakatana upendo unakata. Inakuwa hamkupendana ila mlitamaniana.
 
Back
Top Bottom