Inawezekana kuna wabunge wameomba wasichaguliwe mawaziri

Inawezekana kuna wabunge wameomba wasichaguliwe mawaziri

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Inawezekana kuna wabunge wameomba wasichaguliwe mawaziri.

Hawawezi kusema wote lakini inawezekana kabisa kwa mazingira ya sasa mabunge wengine wakaomba wasichaguliwe kuwa mawaziri.

Hivyo wanaosema wameachwa tujiulize hu ni wakati mgumu
 
Ni wamepigwa chini, hakuna asietamani uwaziri, kama walileta tamaa wakagombea ubunge kwenye UCHAFUZI, ndio wakatae uwaziri. 🤣😂
 
Huyo maza kwa sasa hana tofauti na Jini Maimuna. Akisema jiuzulu, unajiuzulu faster! Akisema jitoe, unajitoa ndani ya sekunde! Akisema usigombee ubunge, hata ama ulishatangaza nia, unajiondoa faster.

Kama huamini, waulize akina nanihii!
 
Back
Top Bottom