K Kamundu Platinum Member Joined Nov 22, 2006 Posts 9,780 Reaction score 15,488 Nov 18, 2025 #1 Inawezekana kuna wabunge wameomba wasichaguliwe mawaziri. Hawawezi kusema wote lakini inawezekana kabisa kwa mazingira ya sasa mabunge wengine wakaomba wasichaguliwe kuwa mawaziri. Hivyo wanaosema wameachwa tujiulize hu ni wakati mgumu
Inawezekana kuna wabunge wameomba wasichaguliwe mawaziri. Hawawezi kusema wote lakini inawezekana kabisa kwa mazingira ya sasa mabunge wengine wakaomba wasichaguliwe kuwa mawaziri. Hivyo wanaosema wameachwa tujiulize hu ni wakati mgumu
AXIOM APEX VERBOSE JF-Expert Member Joined Sep 12, 2022 Posts 13,769 Reaction score 23,676 Nov 18, 2025 #2 Kilichofanyika hata wewe ungejiweka pembeni...
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 37,696 Reaction score 109,218 Nov 18, 2025 #3 Ni wamepigwa chini, hakuna asietamani uwaziri, kama walileta tamaa wakagombea ubunge kwenye UCHAFUZI, ndio wakatae uwaziri. 🤣😂
Ni wamepigwa chini, hakuna asietamani uwaziri, kama walileta tamaa wakagombea ubunge kwenye UCHAFUZI, ndio wakatae uwaziri. 🤣😂
AXIOM APEX VERBOSE JF-Expert Member Joined Sep 12, 2022 Posts 13,769 Reaction score 23,676 Nov 18, 2025 #4 makaveli10 said: Ni wamepigwa chini, hakuna asietamani uwaziri, kama walileta tamaa wakagombea ubunge kwenye UCHAFUZI, ndio wakatae uwaziri. 🤣😂 Click to expand... Hakuna wabunge wote ni feki mawaziri feki baraza feki
makaveli10 said: Ni wamepigwa chini, hakuna asietamani uwaziri, kama walileta tamaa wakagombea ubunge kwenye UCHAFUZI, ndio wakatae uwaziri. 🤣😂 Click to expand... Hakuna wabunge wote ni feki mawaziri feki baraza feki
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 46,405 Reaction score 138,158 Nov 18, 2025 #5 Huyo maza kwa sasa hana tofauti na Jini Maimuna. Akisema jiuzulu, unajiuzulu faster! Akisema jitoe, unajitoa ndani ya sekunde! Akisema usigombee ubunge, hata ama ulishatangaza nia, unajiondoa faster. Kama huamini, waulize akina nanihii!
Huyo maza kwa sasa hana tofauti na Jini Maimuna. Akisema jiuzulu, unajiuzulu faster! Akisema jitoe, unajitoa ndani ya sekunde! Akisema usigombee ubunge, hata ama ulishatangaza nia, unajiondoa faster. Kama huamini, waulize akina nanihii!