Inawezekana kupona enka iliyoteguka (ankle sprain grade3 au 4) bila kwenda Hospitali?

Inawezekana kupona enka iliyoteguka (ankle sprain grade3 au 4) bila kwenda Hospitali?

May Day

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2018
Posts
6,311
Reaction score
9,027
Je, ni wakati gani nitahitaji kumuona Dokta kama nitaona maumivu makali yamepungua kutoka siku ya kwanza ya kupata ajali ya enka?.

Vipi kama nitaamua kufuata tu taratibu za kujiuguza nyumbani mpaka Mguu/enka itengemae?

Ni ipi hatari inayoweza kumpata Mtu asipoonwa na kushauriwa na Daktari juu ya huo Mguu wake?
 
Back
Top Bottom