Je, ni wakati gani nitahitaji kumuona Dokta kama nitaona maumivu makali yamepungua kutoka siku ya kwanza ya kupata ajali ya enka?.
Vipi kama nitaamua kufuata tu taratibu za kujiuguza nyumbani mpaka Mguu/enka itengemae?
Ni ipi hatari inayoweza kumpata Mtu asipoonwa na kushauriwa na Daktari juu ya huo Mguu wake?