Desire mobutu seseseko
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 987
- 1,426
Wakuu bahari ya mihangaiko ya hapa na pale..na pirika za maisha..
Niende moja kwa moja kwenye swali..hivi inawezekana kurudiana na mpenzi wa zamani na mkawa kama kawaida..hata kama mliachana kwa ubaya?
Kiiufupi miaka sita hivi imepita lakini saiv mawalisiano yamerudi kiasi fulani..pamoja na kila mtu kuwa na mahusiano mengine..lakini kila mtu kamkumbuka mwenzie!!
Kana kwamba kila mtu kwenye mahusiano yake mapya kuna mapungufu..hasa binti anadai baada ya kufanyiwa ubaya na alipenda sana..akaamua kupick tu mwanaume katika watu waliokua wanamtongoza kwa hasira..!!
Nawasilisha..karibuni kwa mawazo!!!