Inawezekana kurudiana na mpenzi wa zamani na mkawa sawa kwenye mapenzi yenu?

Ngoja nitafute namba ya bilinas na Nandy tuwapigie tuwaulize,maana jamaa kila mwaka anamvisha pete ya uchumba halafu inapotea,maana walishawahi kuwa ma ex
Mbona za chini chini zunasema Nandy ndie hubeba gharama ya pete na shughuli, ila Bilnas yupo yupo tu kuitikia lakini.........
 
Ubaya wakirudigi wanatala Uwape upendo kama ule wa mwanzo... Wakati mimi hapo nataka tukulane kisela tu upendo Haupo tena yani ila kama kukulana fresh ila kamwe Usirudiane na Ex wako ukitegemea kutakua na mabadiliko yani HAMTADUMU HATA MWEZI.
 
Nimekusoma mkuu.. kwanza heshima yako mzee wa uzi wetu pendwa.. shukran kutia wino hapa..
Masihara ya dumu milele[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hapo fanya mahesabu miaka 6 aliyokaa bila wewe,, zidisha kwa amesex mara 4 kwa week 1 ,
Miaka 6 amesex mara 2016 + na wapenzi tofauti bila kinga = UTI sugu+gonorea+Pangusa+HIV.

watu wengi hupata maradhi sababu ya kurudisha mapenzi ya zamani.
Huwezikujuwa kwann karudi kwako.
Ni kweli kurudiana kupo Ila huo ni muda mrefu Sana umepita.

Tafakari.
Chukuwa hatua..

Sent from my M2101K7BG using JamiiForums mobile app
 
Ujumbe mzito mno mkuu..nimekuelewa saana
 
Back
Top Bottom