Desire mobutu seseseko
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 987
- 1,426
Mzee unataka bahati ya namna gani tena....huyo ndio tayari anakuwa sexmate wako yaani nikupeana asali tuu... Ila usidanganyike kuwa anafaa kiwa mkeWakuu bahari ya mihangaiko ya hapa na pale..na pirika za maisha..niende moja kwa moja kwenye swali..hivi inawezekana kurudiana na mpenzi wa
Nimeshindwa kukuelewa, jee una maanisha mme anaweza kubadilika ila mpenzi hawezi? Tuseme mme mliachana kwa sababu ali cheat au alikupiga unadhani kweli ukirudiana nae hatorudia ila mpenzi atarudia?Kama mme sawa ila mpenzi hapana maana akuna cha ziada hapo tabia ya mtu huwa aibadiriki
Na ndivyo tulikubaliana kikao kilichopita [emoji1787]Kawaida yang huwa siachani na mtu,akienda aktaka kurudi natumia kama kawaida
Wewe ndo upo sawa akiludi wewe chakata usilembeKawaida yang huwa siachani na mtu,akienda aktaka kurudi natumia kama kawaida
Wakuu bahari ya mihangaiko ya hapa na pale..na pirika za maisha..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapo ni sawa na kuangalia movie ya Titanic kwa Mara ya pili na uamini kwamba meli haitozama...... ITAZAMA