Inawezekana kurudiana na mpenzi wa zamani na mkawa sawa kwenye mapenzi yenu?

Ukiwa na mkwanja wote watarudi ila ukiwa kapuku utaogea madawa yote
 
Mapenzi yanatesa watu😃😃
Kisasi kinaandaliwa
Ukimkubali safari hii utakuwa kwa soil
Ngoja nitafute namba ya bilinas na Nandy tuwapigie tuwaulize,maana jamaa kila mwaka anamvisha pete ya uchumba halafu inapotea,maana walishawahi kuwa ma ex
Na ndivyo tulikubaliana kikao kilichopita [emoji1787]

Sent from my Moto C using JamiiForums mobile app
Hapo ni sawa na kuangalia movie ya Titanic kwa Mara ya pili na uamini kwamba meli haitozama...... ITAZAMA
😄😃😀Mahangaiko Yote Ni KULOWEKA Tu
Tanzania Nchi Hii Ipasuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…