Inawezekana kuwa dhahabu hii? Nashindwa kuelewa

Ni bracelet nimeamua kuikata na kuanza kuikwangua , mwenye uelewa wa kutambua dhahabu anaweza kushare tips hapa ili nijue kama ni yenyewe or ni brass πŸ™
 
Tafuta moto kisha weka hio dhahabu ikiungua na kuwa nyeusi hapo umepigwa πŸ˜‚ lkn ikishine hapo umekula hapo unamilion zaidi ya 30 ukiuza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…