KWELI Inawezekana kuwa kwenye siku za hatari ukiwa kwenye siku za hedhi

Taarifa hii imethibitika kuwa ya kweli baada ya kufanya tathmini ya kina
Siku za hatari ni siku 14 kabla ya hedhi inayofuata. Kisha weka plus or minus siku tatu.

Mfano kama unategemea kupata siku yako tarehe 01/11 Basi hiyo tarehe toa siku 14. Unapata tarehe 16 Kwahiyo siki za hatari ni Kuanzia tarehe 13/10 mpaka tarehe 19/10

Sisi ndivyo tulifundushwa. Kwahiyo haiwezekani kuwa Katika siku za hedhi.
 
Nimeuliza tu kujua kama hicho kitu kipo kuna doctor aliongelea nikawa sijaelewa
Haiwezekani labda kwa walio abnormal kwenye mizunguko yao ya hedhi like mayai yote mawili yanakomaa ndani ya mwezi mmoja Ila siku tofauti, uwezekano wa urutubishaji (Uhatari wenyewe) kutokea ni mkubwa Ila mimba kutungwa ni ngumu maana Kuta za uzazi (Uterus) zinakuwa zimeshabomoka.
 
Inawezekana kabisa hasa kwa wenye mzunguko mfupi,
 
Jamii forums siku hizi imejaa watoto ambao wanaharibu kila jukwaa ndiyo maana watu wenye weledi hawaingii kusaidia. Binti yangu Kwa kukusaidia uwezekano WA kuwa na siku za hatari ukiwa kwenye hedhi upo Mkubwa tu hasa Kwa watu wenye mzunguko mfupi. Wanawake wenye mzunguko WA siku 21 siku za hatari zinakuwa mpaka wakati WA hedhi na wanawake wote wenye mzunguko WA siku 21 wanashauriwa kufanya Mapenzi hata wakati WA hedhi Kwa ajili Ya kutafuta Mtoto. Hivyo km una mzunguko WA siku 21 usiache kutoa wakati WA hedhi...
 
Mfano, siku za hedhi ni tano ile siku ya 4 au 5 ikiwa siku ya hatari?🤔
Ina possibility…

Kama mzunguko ni mfupi.. inawezekana kabisa.
Mf. Mzunguko wako ni siku 21
Umetoka mp siku ya 3, kuanzia 4 hapo zinaanza zile high chance of getting preg.
Huyu hanaga safe days baada ya kumaliza mp.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…