bro alex
JF-Expert Member
- Jul 15, 2025
- 1,889
- 2,294
Halafu unakuta MTU hajalaaa. TeteteeeMatumizi ya bangi na pombe sio mazuri
Halafu unakuta MTU hajalaaa. TeteteeeMatumizi ya bangi na pombe sio mazuri
Kufananisha na walimu, madaktar, polisi na wafanyakazi wa tamisemi au halmashauri wa Tanzania?
Watu kama samia au Lukas Mwashambwa hii akili hawana mkuu.Madafu mbona pwani yamejaa
Labda kufata devices za umeme ndio nasikia ni cheap ila hiyo project inahitaji kichwa kama Magufuli waliobaki sidhani
Tuna MATATIZO mengi sana . Halafu hua mnatutenga KWANINI msijenge KWENDA kwa NDUGU zenu PEMBA mmekazana dar dar ilihali mwawatenga wakina zanzibar jengeni KWENDA pembaDaraja kutoka Dar es Salaam mpaka Zanzibar ni kitu kinawezekana mkuu siyo swala la bangi.
Sehemu urefu wake hauzidi hata Kilomita 70 unasema ni bangi.
Sema tu sisi hatuna hela za kujenga hilo daraja, maana ni bilioni za dola zinahitajika kulikamilisha.
China lipo kama hili ila lina kilomita 55 hivi, Marekani pia lipo la kilomita 30 hivi.
Iwe kesho au miaka 100 ijayo hili daraja litajengwa.
Unguja na Pemba yote ni Zanzibar SheikhTuna MATATIZO mengi sana . Halafu hua mnatutenga KWANINI msijenge KWENDA kwa NDUGU zenu PEMBA mmekazana dar dar ilihali mwawatenga wakina zanzibar jengeni KWENDA pemba
Isije tukaambiwa tule nyasiInawezekena Mkuu tena bila shida
Miaka hiyo hata Tanzania haitakuwepo na tech itakuwa imebadirika huenda kukawa na mabawa ya kununua safari za Zanzibar mtu unapaa mwenyeweWatu kama samia au Lukas Mwashambwa hii akili hawana mkuu.
Ila miaka ya baadae (hata miaka 200 ijayo) ambapo Teknolojia na uhandisi kwa ujumla utakuwa umeendelea huenda daraja litajengwa, au kitu kingine zaidi ya tunavyofikiria sasa.
Nakubliana na wewe mkuu.Miaka hiyo hata Tanzania haitakuwepo na tech itakuwa imebadirika huenda kukawa na mabawa ya kununua safari za Zanzibar mtu unapaa mwenyewe
Wanatia huruma wa viwanjani au halmashauri?Kwa mbele huko kiwanja wanatia huruma tu
Wanatia huruma wa viwanjani au halmashauri?
Mshahara wa kubeba box siku 4 ndo mshahara wa Daktar wa degree mwezi mzma.Kwa maisha ya kiwanja wanatia huruma
Mshahara wa kubeba box siku 4 ndo mshahara wa Daktar wa degree mwezi mzma.
Fafanua huo ugumu wa maisha viwanjani
Mkuu hichi ndo kichaka chenu?Cost of living
Mkuu wewe ni mbeba boksi nini?
Mkuu achana nae huyo,hao wanajua kubishana mambo ya siasa tu,maisha ya mbele hawawezi kuyajua,wakikaa kwenye vijiwe vyao vya kahawa huwa wanajifariji kua mbele maisha ni magumu,utafikiri Bongo maisha ni mepesi.Mkuu hichi ndo kichaka chenu?
Kwani hapa Tanzania hakuna cost of living?
Iwe chini ya bahari itakuwa kivutio cha utaliiTunnel Bara - Zanzibar ni bajeti ya mwaka nzima ya Serikali ya watumwa wote wa Tanganyika na Zanzuberi..